Kampuni clearing and forwarding inauzwa 26Million

Kusajiri kampuni ya cleaning sio rahisi kihivyo,ndo maana uuzwa bei
Kuna usumbufu wa mara mitihani mara sijui uhakiki na kupoteza muda. Last year nilipiga calculations za kuanzisha kampuni kama hiyo, nilikuwa nao wale madalali wa jengo gani pale Posta karibu na TTCL. Gharama za kuanzisha hazitishi ila compliance ndio zinachukua muda na bureaucracy.
 
Kwenye mitihani unatafuta mtu competent akufanyie unampa chake mnamalizana.
 
Kama upo serious nielezee tuone kama kuna mtu atakuwa interested na weka namb ya simu
 
Twiga house ndo zimejaa hizi kampuni,

Process za kufungua ni nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…