T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kuna usumbufu wa mara mitihani mara sijui uhakiki na kupoteza muda. Last year nilipiga calculations za kuanzisha kampuni kama hiyo, nilikuwa nao wale madalali wa jengo gani pale Posta karibu na TTCL. Gharama za kuanzisha hazitishi ila compliance ndio zinachukua muda na bureaucracy.Kusajiri kampuni ya cleaning sio rahisi kihivyo,ndo maana uuzwa bei