educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 412
- 471
Be forwardNimeona kampuni kadhaa zingatia huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipo ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi;
1. Be forward,
2. SBT Japan,
3. Enhance Auto,
Be forward ndio bora zaidiNimeona kampuni kadhaa zingatia huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipo ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi;
1. Be forward,
2. SBT Japan,
3. Enhance Auto,
Shukrani Mkuu. SBT unaweza kulipia hapa hapa kwenye akaunti zao ambazo zipo Tanzania?Nenda SBT mkuu, mi zaidi ya mara 2 nimewatumia bila shida yeyote
DuWote hao hawaingii kwa Auto Market
Unaweza , wana account NMB, unalipa bila bank charges.Shukrani Mkuu. SBT unaweza kulipia hapa hapa kwenye akaunti zao ambazo zipo Tanzania?
SamatimeNimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi;
1. Be forward,
2. SBT Japan,
3. Enhance Auto.