Kampuni gani inakopesha pikipiki?

Kampuni gani inakopesha pikipiki?

Shukrani sana wakuu, nimefanikiwa kupitia kampuni hii mbarikiwe sana
Habari mkuu, pole kwa majukumu ila information yako nimeipenda so nilitakujua utaratibu wao upokei ili upate pkpk ya mkopo. Natunguliza shukran za dhati kwako
 
Habari mkuu, pole kwa majukumu ila information yako nimeipenda so nilitakujua utaratibu wao upokei ili upate pkpk ya mkopo. Natunguliza shukran za dhati kwako
Unakuwa na kitambulisho na TIN, viwe original na mdhamini nae awe na kitambulisho, pia uwe na kianzio(300-800k) inategemea na aina ya pikipiki

Sent from my V2207 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom