Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi huyu alikuwa na maana ya shopping companies.kutoka China weka wazi ni mzigo mkubwa kiasi gani,au unataka kusafirish kwa ndege au meli.Kwa ndege watakutoza bei kulingana na uzito wa mziigo au specification yake mfano simu huwa zinakuwa na fixed bei isiyo jali uzito.Kutuma kwa meli watakucharge mzigo kulingana na CBM ambayo ni urefu * kimo * upana wa mzigo wake.Bei ya CBM inafatana nan aina ya mzigo.Kuhusu kampuni za kusafirisha zipo nyingi tu.Kampuni za kusafirisha kwa meli Kuna Silent ocean,GNM,Mapembelo,Zazeme,Toshi na nyingine nyingi tu.Na za kusafirisha kwa ndege ni hivo hivo zipo nyingi tu.
Mkuu tunaomba ufafanuzi kidogo hapa, Hizo kampuni ofisi zao kwa Dar zipo wapi ? Ukipeleka mzigo kwenye hizi kampuni bei wanachaji mizigo inakua pamoja na kodi za tra ama unaenda mwenyewe kumalizana na tra?Kuna unique cargo Kilimanjaro cargo Kuna makampuni mengi
Interact with the audience!I will understand this language one day.
Mkuu tunaomba ufafanuzi kidogo hapa, Hizo kampuni ofisi zao kwa Dar zipo wapi ? Ukipeleka mzigo kwenye hizi kampuni bei wanachaji mizigo inakua pamoja na kodi za tra ama unaenda mwenyewe kumalizana na tra?
Asante