Kampuni gani inatengeneza vitasa vya milango ambavyo ni imara?

Kampuni gani inatengeneza vitasa vya milango ambavyo ni imara?

Fake fake kila brand mkuu, PAKA, UNION n.k fake vinaongoza.
Cha msingi upate duka la kuuza ogii.
Ukioata Ogii chukua Paka au spider
 
Agiza maana ndio Dealer wa UNION original kwa apa Tanzania na bei zake kidogo ahueni ila kuna brand ya HAFELE nayo ni nzuri wauzaji wapo Jengo la Spanish Tiles Makumbusho wao bei zao za Mabalozi ni kubwa mno.
Kama upo Mkoani agiza siku hizi hamna kinachoshindikana
Vitasa vya unio bei gan
 
Wakuu nimekua ni muhanga wa vitasa vibovu na feki!

Ebu nipeni kampuni bora za vitasa vigumu vya milango.
Nenda mwenge Pale Kituo cha ITV....ingia kule ASSA ABLOY kuna vitasa original vya kila aina
Nenda hapo aliposema jamaa nilinunua brand inaitwa VECTR. Uhakika. Nilichagua vya 120,000/- kimoja. Ila hela yako inaenda kihalali.
 
Back
Top Bottom