Kampuni gani inatengeneza vitasa vya milango ambavyo ni imara?

Fake fake kila brand mkuu, PAKA, UNION n.k fake vinaongoza.
Cha msingi upate duka la kuuza ogii.
Ukioata Ogii chukua Paka au spider
 
Vitasa vya unio bei gan
 
Wakuu nimekua ni muhanga wa vitasa vibovu na feki!

Ebu nipeni kampuni bora za vitasa vigumu vya milango.
Nenda mwenge Pale Kituo cha ITV....ingia kule ASSA ABLOY kuna vitasa original vya kila aina
Nenda hapo aliposema jamaa nilinunua brand inaitwa VECTR. Uhakika. Nilichagua vya 120,000/- kimoja. Ila hela yako inaenda kihalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…