Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ni hosting tu ndiyo unahitaji? Design and marketing huhitaji?Habari zenu wadau
Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania
Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate muongozo
How unafanya marketing mkuu???Ni hosting tu ndiyo unahitaji? Design and marketing huhitaji?
Sifanyi chochote, nimemuuliza tu nipate majibu yakeHow unafanya marketing mkuu???