Kampuni gani nzuri kwa kuagiza gari nje

Kampuni gani nzuri kwa kuagiza gari nje

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622
Heshima yenu wakuu. Niko katika kufanya utafiti wa kampuni nzuri na za kuaminika ambazo zinatumika kuagiza magari nje kama Japanese Vehicles...Kama kuna yoyote mwenye uzoefu kuhusu anisaidie tafadhali.
 
befoward.jp

Hii kwa upande Wa E.T.D (Estimate Time Of Depature) huwa wanachelewa sana..Huchukua hata miezi 2 ndio wanalisafirisha gari lako..Ila iko Safe sana...Ila kama itakuwa bahati kwako,mfano umeagiza gari kwao,na kwa Bahati nzuri meli yao bado iko Japan na haijajaa basi utasafirishiwa Soon..
 
Mkuu fanya hivi..
1.Fungua Japanese used cars. | tradecarview.com
2.Browse by Japan Car Dealers
3.Tafuta Makampuni yafuatatayo:-
(a) SAN A TSUSHO Co,.LTD
(b) CREATUS Co,.LTD
(c) WILD GOOGE JAPAN
(d) REAL MOTORTS Jr
(f) METEOR CO,.LTD

Hayo ni Baadhi ya Makampuni ambayo yako Salama na husafirisha Gari kwa Muda mwafaka Mkuu...Kumbuka Tradecarview kuna Makampuni Mengi sana,na yote yako Safe..Kifupi huwezi kuibiwa gari lako..Sema yanapishana kwa Ubora wa Usafirishaji na Bei...
 
Kwa hiyo trade car view ni kampuni ya usafirishaji ambayo inasafirisha magari ya makampuni uliyotaja hapo juu au nimekuelewa vibaya?
 
Mkuu fanya hivi..
1.Fungua Japanese used cars. | tradecarview.com
2.Browse by Japan Car Dealers
3.Tafuta Makampuni yafuatatayo:-
(a) SAN A TSUSHO Co,.LTD
(b) CREATUS Co,.LTD
(c) WILD GOOGE JAPAN
(d) REAL MOTORTS Jr
(f) METEOR CO,.LTD

Hayo ni Baadhi ya Makampuni ambayo yako Salama na husafirisha Gari kwa Muda mwafaka Mkuu...Kumbuka Tradecarview kuna Makampuni Mengi sana,na yote yako Safe..Kifupi huwezi kuibiwa gari lako..Sema yanapishana kwa Ubora wa Usafirishaji na Bei...
TRADECARVEW HAWANA OFISI TZ. WANATUMIA MAWAKALA KAMA WALMAX AMBAO SIKUSHAURI MAANA WALINISUMBUA SANA MIMI NA VITU VILIPOTEA!
 
TRADECARVEW HAWANA OFISI TZ. WANATUMIA MAWAKALA KAMA WALMAX AMBAO SIKUSHAURI MAANA WALINISUMBUA SANA MIMI NA VITU VILIPOTEA!
BIFORWARD NIMESHAWATUMIA NI WAZURI HAWANA USWAHILI/ GARI KUCHELEWA HUTOKANA NA TIMING YA WEWE UNAPOAGIZA NA MELI INAPOONDOKA KULE. UCHAKAVU WA GARI NI CHOISE YAKO MWENYEWE. VINGINEVYO JARIBU SBT
 
Back
Top Bottom