China almost tiles zao aina zote wanazalisha apa nchini sema kuna baadhi wanatoa china..kama tiles nyeusi ndo zinatok china sanasanaNieambiwa kuna tiles za China ni nzuri, zinafahamika kwa wauzaji kama CHINA GRADE ONE TILES (sina uhakika na jina hili kama ndilo rasmi), kwa anayefahmu zinapouzwa au ABC zake tafadhali naomba anijuze.
Kwenye room ya mita 3 kwa 3 itaingia boksi ngapi?Tiles from Twyford
Size gani ya tiles mkuuKwenye room ya mita 3 kwa 3 itaingia boksi ngapi?
40*40Size gani ya tiles mkuu
Box 540*40
Box moja bei gani?Box 5
29000 mpk 26000 unapata..Box moja bei gani?
Tatizo ni hela yakoHiyo Goodwill si ndiyo ile ya Mkuranga, aisee ni uchafu mtupu hakuna tiles pale
Mkuu nahitaji hiyo ya katikati kulia, kama ipo nicheck inbox tuyajenge tufanye biasharaKama unaitaji tiles bora size zote nichek
0623152344
Tupo chalinze na mlandizi na tunasafirisha mikoani..
View attachment 2078348View attachment 2078347View attachment 2078346