Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilinunua Nissan Beforward miaka 4 iliyopita...gari ilikuwa na mileage ya 118k na mpaka sasa gari ipo poa kwenye engine nimebadilisha plug tu na service za oil za kawaida..Kampuni ambazo wana magari ya uhakika na kwa uzoefu wangu ni autorec, trust, iaa na ibc makampuni haya ni waaminifu, na magari yao ni recondition yaani vilivyo vibovu hutolewa na kuwekwa vipya. Ubaya wao ni kuwa magari yao ni gharama na unaweza tafuta gari kwenye web zao ukalikosa! Uzuri wa sbt na befoward wana magari mengi mnooo utashindwa mwenyewe na bei zao cheap ila zina ubora wa kawaida sana na sometime ubora wa chini na uaminifu sio kwa asilimia kubwa sometime ni waongo balaaaaa! mfano befoward sometime wanaweza kukuletea gari tofauti na lile uliloloona kwenye picha! ingawa jina ni lile lile na odometer zao huwa zinashushwa km!! kama una pesa ya kutosha agizia autorec/trust hata kama hawana gari unalolitaka waambie wakutafutie maana wana hii huduma pia.
Bandarini inakuwaje kwenye ushuru wa forodha tuseme umeinunua hata m'20 ikifka unatakiwa ulipie ngap tenaNilinunua Nissan Beforward miaka 4 iliyopita...gari ilikuwa na mileage ya 118k na mpaka sasa gari ipo poa kwenye engine nimebadilisha plug tu na service za oil za kawaida..
Nilipoagiza sikupata usumbufu wowote ule na bado nategemwa kuendelea kuwatumia beforward..