Kampuni gani ya bati ni nzuri kuezekea?

Kampuni gani ya bati ni nzuri kuezekea?

Mr SGR

Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
60
Reaction score
38
Wadau poleni na majukumu nakuja mbele ya jukwaa nikiomba ushauri wa kampuni nzuri inayouza mabati kwa ajili ya kuezekea.

Nimeuliza mafundi kadhaa wamenishauri nitumie migongo mipana lakini sijajua kampuni ipi nzuri itanifaa naombeni mwenye uzoefu juu ya ubora na kampuni nzuri anisaidie please niko DSM.
 
Wadau poleni na majukumu nakuja mbele ya jukwaa nikiomba ushauri wa kampuni nzuri inayouza mabati kwa ajili ya kuezekea. Nimeuliza mafundi kadhaa wamenishauri nitumie migongo mipana lakini sijajua kampuni ipi nzuri itanifaa naombeni mwenye uzoefu juu ya ubora na kampuni nzuri anisaidie please niko DSM.
Chagua Alaf, ndugu🤔
 
Wadau poleni na majukumu nakuja mbele ya jukwaa nikiomba ushauri wa kampuni nzuri inayouza mabati kwa ajili ya kuezekea.

Nimeuliza mafundi kadhaa wamenishauri nitumie migongo mipana lakini sijajua kampuni ipi nzuri itanifaa naombeni mwenye uzoefu juu ya ubora na kampuni nzuri anisaidie please niko DSM.
Ni ALAF mkuu. Hakuna kama alaf
 
bati ni alaf tu. although bei zake zimechangamka ila kama unataka upaue bati yenye garantee usipende kitonga.
note bure garama. chagua alaf
 
Wadau poleni na majukumu nakuja mbele ya jukwaa nikiomba ushauri wa kampuni nzuri inayouza mabati kwa ajili ya kuezekea.

Nimeuliza mafundi kadhaa wamenishauri nitumie migongo mipana lakini sijajua kampuni ipi nzuri itanifaa naombeni mwenye uzoefu juu ya ubora na kampuni nzuri anisaidie please niko DSM.
Sunbank mabati ni bati nzuri sana nzenye ubora zaidi na ni nafuu na alafu
 
Back
Top Bottom