kampuni inauzwa

kampuni inauzwa

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
368
habari wakuu,nauza kampuni ya general trading,kwa mwenye kuwa interested ani-pm.
 
Weka company profile inayoonyesha:

  1. Operating legal mandate
  2. Principal activities
  3. Area of operations
  4. Main products/services
  5. Industry in which the company operates
  6. Market share/major customers
  7. main competitors
  8. Key suppliers
  9. Capital structure
  10. Legal matters - Annual Return Form 128, Report of Latest TRA Tax audit
 
Imeshafanya kazi miaka mingapi? na je inawateja wa kuaminika? inauzwa kiasi gani?

Je imeajiri watu? Goodwill kubwa inatokana na kuwa na wafanyakazi wazuri au ni ma Directors wenyewe?

Maana isijekuwa ma Director wakibadilika na wateja wanakimbia wote. Au key staff mnahama nao nyie mnaacha bogus!

Je kampuni ina madeni TRA???
 
Weka company profile inayoonyesha:

  1. Operating legal mandate
  2. Principal activities
  3. Area of operations
  4. Main products/services
  5. Industry in which the company operates
  6. Market share/major customers
  7. main competitors
  8. Key suppliers
  9. Capital structure
  10. Legal matters - Annual Return Form 128, Report of Latest TRA Tax audit

A company profile with the above details will be an excellent disclosure.

Thanks Ndachuwa for your contribution
 
Huyu mkuu anazani Kampuni inauzwa kama mtu anavyo uza MIWA, ni lazima iwe na maelezo ya kufa mtu ya kumshawishi mtu anunue kampuni, na nahisi mtoa maada anauza Jina la Kampuni na si Kazi za kampuni, make ndo ile unanunua halafu unaambiwa Tafuta ofisi yako, vitendea kaz, wafanyakazi na kazalika yaani unakuwa umeuziwa jina,

HALAFU MTOA MAADA KAINGIA MITINI, NA HII INAONYESHA WATANZANIA TULIVYO WASANII WA KUFA MTU, HUU SI UJANJA HATA KIDOGO NI UTOTO NA UJINGA, HUWEZI LETA THREAD HALAFU BADALA YA KUKAA KUJIBU HOJA UNAINGIA MITINI UNABAKIA KUCHUNGULIA KUONA KAMA MITEGO YAKO IMEKAMATA NDEGE,
 
well said mdau,pia anatakiwa atuoneshe M&A of Association, na pia kikubwa anatakiwa atupe sababu inayomfanya aiuze kampuni hiyo...yaani ishu ni nini hadi kufikia maamuzi ya kuiuza?maana mtu asije akanunua balaa bure wakati kampuni yenyewe ni hewa au deals zake sio legal, nk...pliz avail every info that u have concerning that company.
Weka company profile inayoonyesha:

  1. Operating legal mandate
  2. Principal activities
  3. Area of operations
  4. Main products/services
  5. Industry in which the company operates
  6. Market share/major customers
  7. main competitors
  8. Key suppliers
  9. Capital structure
  10. Legal matters - Annual Return Form 128, Report of Latest TRA Tax audit
 
Back
Top Bottom