Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Majibu ya namna hii yanatolewa na wapimbafu flan hivi.... Kila cku mnasema tufate sheria lakn ikifika zamu yenu ya kufata sheria mnaleta ngonjera....pumbafu kabisa ninyiii
[emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106]
 
Wewe ni empty set, kwahiyo hata kwenye ajira kama watoto wa viongozi wamesoma basi wao wapewe kazi tu mbele ya wengine hakuna haja ya interview
lipi la ajabu sister wangu mpaka leo hajapewa nafasi ya viti maalumu na ana elimu bora na uzoefu wa siasa zaidi ya wengine chadema,wanaangalia babies tu!
 
Kampuni ya fisadi na dikteta magufuli ameipa mkataba kinyemela wa zaidi ya bilioni 50 ambazo hazikuidhinishwa na Bunge kujenga uwanja wa ndege chato ambao hauna maana yoyote katika uchumi wa Tanzania.
 
Thobias Marandu alishaweka majibu mezani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watergate scandal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…