Msambwata
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 1,307
- 1,500
Days are numberedNdiyo tulichobakiza maana Robert Mugabe wa Tzeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni shida kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Days are numberedNdiyo tulichobakiza maana Robert Mugabe wa Tzeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni shida kweli kweli
Tuelimishe mkuuFumbo hufumbiwa wajinga, werevu wanajua Mayanga ni nani.
[emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106]Majibu ya namna hii yanatolewa na wapimbafu flan hivi.... Kila cku mnasema tufate sheria lakn ikifika zamu yenu ya kufata sheria mnaleta ngonjera....pumbafu kabisa ninyiii
Mkojo sitowi mkuu.... Hahaha
Days are numbered
Kweli mkuuWatakutundulissu shauri yako.Si wema hao.Bora kukutana na CHATU kuliko hawa jamaa
lipi la ajabu sister wangu mpaka leo hajapewa nafasi ya viti maalumu na ana elimu bora na uzoefu wa siasa zaidi ya wengine chadema,wanaangalia babies tu!Wewe ni empty set, kwahiyo hata kwenye ajira kama watoto wa viongozi wamesoma basi wao wapewe kazi tu mbele ya wengine hakuna haja ya interview
Ni kazi tukitaka kujua kila mmiliki wa kampuni,je kazi hazina ubora na hazikamiliki kwa wakati!
Mkuu unaumizaMafisadi wote kanda ya ziwa sasa sijui uwezo binafsi akuna
Haha mkuu....acha uchonganishiItakua ya kocha mkuu wa Taifa stars SALUM MAYANGA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thobias Marandu alishaweka majibu mezani.Wadau, hili ni dudu jingine mjini hapa linapata matenda makubwa ya serikali hii mf chato airport na tender kubwa za lake zone na kigoma.
Kuna tender ilitangazwa nikasikia kampuni moja ya ujenzi inasema kama Mayanga akiomba hawatajisumbua kuomba....
So wajuzi wa mambo naombeni elimu kampuni hili ni la nani? Kwanini Mbarawa anapata kigugumizi juu ya Mayanga?
Nawasilisha
Watergate scandal?Wadau, hili ni dudu jingine mjini hapa linapata matenda makubwa ya serikali hii mf chato airport na tender kubwa za lake zone na kigoma.
Kuna tender ilitangazwa nikasikia kampuni moja ya ujenzi inasema kama Mayanga akiomba hawatajisumbua kuomba....
So wajuzi wa mambo naombeni elimu kampuni hili ni la nani? Kwanini Mbarawa anapata kigugumizi juu ya Mayanga?
Nawasilisha