Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Mkataba wa Mayanga construction kujenga Chato International Airpot ni wa siri sana. Mayanga haijawahi kujenga uwanja wa ndege b4.
Kwani bid inasema awe ameishajenga uwanja wa ndege before? Kwani Mbowe alikuwa mwenyekiti wa chama gani kabla?
 
zamani wakati tukikua sisi bajeti yote ilikuwa inapitishwa na bunge ndipo mradi unaanza lakini leo hii miradi inajengwa bila kupitishwa na bunge sasa bunge lina kazi gani? na wabunge mpo mnaangalia tu je nini jukumu lenu bunge la bajeti zaid ya miezi 3 lakini mzee anakuwa na maamuzi yake je nn kazi ya bunge ? mahakamani nako vilevile baba anatoa maamuzi sasa nini kazi ya majaji?
 
Unafahamu maana ya kuji Mwambafai ?
 
Mayanga! ha ha ha ha ha ha, hii ni tamu sana, kwani hujui kuwa huyu n Shemela? Nenda pale Azania Bank Plc branch ya Rocky City Mall ujionee mambo, kwe kwe kwe kwe kwe
 
YOU GUYS,
Ebu muwe serious,namna hii mnazidi kuiporomosha JF hadhi.
Nyinyi kila mkitoka chooni na kwa sababu humu ndio ajira zenu zilipo na ili bosi wenu aone mko kazini.
Basi ni kuzidi kuropoka ropoka tu.

Kwa hali hii hata huyo bosi wenu atakuwa anatumia tumbo kufikiri na hakuna mtanzania anayejitambua atakuja kuuamini upinzani kama haya ndio mwawazo yenu.
 
Walipewa bilioni 14 kujenga barabara ya Nata – Mto wa Mbu tangu 2013 hadi 2018 hakuna hata mita 1 iliyojengwa.

Kampuni iliyopewa zabuni ya kujenga Uwanja wa Ndege Chato, Mayanga Construction Co. Ltd, inasimamiwa na Steven Makigo, wamesoma na Rais Magufuli (1977/78) Lake Sec, Mwanza.

Makigo aliewahi kuonekana katika video iliyosambaa mtandaoni akimshauri Rais Magufuli agombee urais; na Rais akimjibu, “nikigombea, watalimia meno.”

Kampuni hiyo ina uzoefu wa kutokukamilisha miradi kadhaa iliyowahi kupewa na bila kuhojiwa na mtu yeyote.
 
Kama hapo mwenyewe umeshasema alionekana anamshauri Mkulu agombee, basi hamna mjadala tena hapo.
 
Mbona tushasema sana kuhusu Mayanga!!

CEO ni Steven Makigo

Steven Makigo ni Swahiba wa Rais John Pombe Magufuli... hawakukutana barabarani!! Hawa wamesoma pamoja Lake Secondary School.

Akiwa kama waziri wa ujenzi, mwaka 2012 JPM alimteua Steven Makigo kuwa Mjumbe wa TEMESA. TEMESA hii ni ile ile ambayo ilinunua boti kwa mabilioni ya pesa huku boti yenyewe ikiwa na speed sawa na mtumbwi!!

Ni boti ile ile ambayo, ili kuwakata watu midomo wasiijadili, JPM yule yule akaipeleka boti hiyo jeshini! Yaani, Jeshi linapewa boti yenyewe mwendo wa kinyonga!!!

Hilo linawezekana Tanzania peke yake....
Tobah
 
Ndiyo maana wapo tayari kuua mtu yeyote anayehatarisha uwepo wao kwenye madaraka
 
Mayanga Contractors ni kampuni ya huyo anayejiita KICHAA. Mkurugenzi ni jamaa waliokutana UDSM anaitwa Stephen Makigo. Jamaa ni muoga sana yuko low profile sana kwa kuhofia siri ya hiyo kampuni kuanikwa hadharani na ndiyo waliopewa zabuni kinyemela ya kujenga chato airport.

Wadau, hili ni dudu jingine mjini hapa linapata matenda makubwa ya serikali hii mf chato airport na tender kubwa za lake zone na kigoma.

Kuna tender ilitangazwa nikasikia kampuni moja ya ujenzi inasema kama Mayanga akiomba hawatajisumbua kuomba....

So wajuzi wa mambo naombeni elimu kampuni hili ni la nani? Kwanini Mbarawa anapata kigugumizi juu ya Mayanga?

Nawasilisha
 
Watanzania wanapenda sana umbeya, wakiombwa uthibitisho kila mmoja Hana. Kila mmoja anasema nasikia sasa na aliyemwambia nae akiulizwa atasema nasikia.
Kikubwa document zinamtaja mmiliki vingine vinabaki kusikia Kama ilivyokawaida yetu.
Enzi Za JK tulikua tunasikia pia kila jengo zuri na refu linalojengwa na Riz 1. Katoka madarakani tumeacha kusikia na Wamiliki tunawajua sasa.
Tuendelee kupiga umbea hapa kwenye huu uzi na kusikia maana uthibitisho hakuna ziaidi ya kusikia.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Zabuni ilitolewa na Jiwe kinyemela ili kuhakikisha kampuni yake ndiyo inashinda zabuni hiyo ili ajikusanyie mabilions. Anatumia nafasi yake KUJITAJIRISHA huku akikiuka MAADILI YA VIONGOZI.

Zito hachoki kua mpotoshaji...tender inasema contractor awe anatoka kanda ya Ziwa na ime mention mikoa yote ya Kanda ya Ziwa ila yeye kwa Makusudi kaitaja Mwanza na Shinyanga na Kuiomit mikoa mingine...anafanya technical error ya Makusudi kabisa just to cause chaos...kwani watu hawawezi ku make their point bila kutia chumvi? Pathetic
 
Back
Top Bottom