Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwani bid inasema awe ameishajenga uwanja wa ndege before? Kwani Mbowe alikuwa mwenyekiti wa chama gani kabla?Mkataba wa Mayanga construction kujenga Chato International Airpot ni wa siri sana. Mayanga haijawahi kujenga uwanja wa ndege b4.
Nakulilia Tanzania .Mkataba wa Mayanga construction kujenga Chato International Airpot ni wa siri sana. Mayanga haijawahi kujenga uwanja wa ndege b4.
Unafahamu maana ya kuji Mwambafai ?zamani wakati tukikua sisi bajeti yote ilikuwa inapitishwa na bunge ndipo mradi unaanza lakini leo hii miradi inajengwa bila kupitishwa na bunge sasa bunge lina kazi gani? na wabunge mpo mnaangalia tu je nini jukumu lenu bunge la bajeti zaid ya miezi 3 lakini mzee anakuwa na maamuzi yake je nn kazi ya bunge ? mahakamani nako vilevile baba anatoa maamuzi sasa nini kazi ya majaji?
Mayanga! ha ha ha ha ha ha, hii ni tamu sana, kwani hujui kuwa huyu n Shemela? Nenda pale Azania Bank Plc branch ya Rocky City Mall ujionee mambo, kwe kwe kwe kwe kweMayanga
Mapanya bukuCCM ni ukoo wa panya
TobahMbona tushasema sana kuhusu Mayanga!!
CEO ni Steven Makigo
Steven Makigo ni Swahiba wa Rais John Pombe Magufuli... hawakukutana barabarani!! Hawa wamesoma pamoja Lake Secondary School.
Akiwa kama waziri wa ujenzi, mwaka 2012 JPM alimteua Steven Makigo kuwa Mjumbe wa TEMESA. TEMESA hii ni ile ile ambayo ilinunua boti kwa mabilioni ya pesa huku boti yenyewe ikiwa na speed sawa na mtumbwi!!
Ni boti ile ile ambayo, ili kuwakata watu midomo wasiijadili, JPM yule yule akaipeleka boti hiyo jeshini! Yaani, Jeshi linapewa boti yenyewe mwendo wa kinyonga!!!
Hilo linawezekana Tanzania peke yake....
Ndiyo maana wapo tayari kuua mtu yeyote anayehatarisha uwepo wao kwenye madarakaMbona tushasema sana kuhusu Mayanga!!
CEO ni Steven Makigo
Steven Makigo ni Swahiba wa Rais John Pombe Magufuli... hawakukutana barabarani!! Hawa wamesoma pamoja Lake Secondary School.
Akiwa kama waziri wa ujenzi, mwaka 2012 JPM alimteua Steven Makigo kuwa Mjumbe wa TEMESA. TEMESA hii ni ile ile ambayo ilinunua boti kwa mabilioni ya pesa huku boti yenyewe ikiwa na speed sawa na mtumbwi!!
Ni boti ile ile ambayo, ili kuwakata watu midomo wasiijadili, JPM yule yule akaipeleka boti hiyo jeshini! Yaani, Jeshi linapewa boti yenyewe mwendo wa kinyonga!!!
Hilo linawezekana Tanzania peke yake....
Kweli, lakini akitaka ukweli pia aende kwa msajiri wa makampuni pale Lumumba atapata kila kitu!Ni kazi tukitaka kujua kila mmiliki wa kampuni,je kazi hazina ubora na hazikamiliki kwa wakati!
Wadau, hili ni dudu jingine mjini hapa linapata matenda makubwa ya serikali hii mf chato airport na tender kubwa za lake zone na kigoma.
Kuna tender ilitangazwa nikasikia kampuni moja ya ujenzi inasema kama Mayanga akiomba hawatajisumbua kuomba....
So wajuzi wa mambo naombeni elimu kampuni hili ni la nani? Kwanini Mbarawa anapata kigugumizi juu ya Mayanga?
Nawasilisha
Mayanga Contractors ni kampuni ya huyo anayejiita KICHAA. Mkurugenzi ni jamaa waliokutana UDSM anaitwa Stephen Makigo. Jamaa ni muoga sana yuko low profile sana kwa kuhofia siri ya hiyo kampuni kuanikwa hadharani na ndiyo waliopewa zabuni kinyemela ya kujenga chato airport.
Zito hachoki kua mpotoshaji...tender inasema contractor awe anatoka kanda ya Ziwa na ime mention mikoa yote ya Kanda ya Ziwa ila yeye kwa Makusudi kaitaja Mwanza na Shinyanga na Kuiomit mikoa mingine...anafanya technical error ya Makusudi kabisa just to cause chaos...kwani watu hawawezi ku make their point bila kutia chumvi? PatheticZabuni ilitolewa na Jiwe kinyemela ili kuhakikisha kampuni yake ndiyo inashinda zabuni hiyo ili ajikusanyie mabilions. Anatumia nafasi yake KUJITAJIRISHA huku akikiuka MAADILI YA VIONGOZI.