Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

yana muda wake hayo masuala
muda huu watu wanataka kujua utafanya nini ili kuyafanya maisha yao kuwa rahisi
watu wanataka ugali weww unazungumzia sijui mayanga construction ya nani rais aeleze ya nani,kwani BRELA hupajui?ukilipa 22,500 faili linaletwa mezani unafunua kurasa moja baada ya nyingine
Nyaraka zenye habari fake? Hujui Rais (mgombea) mwenye taarifa za uongo hafai kupewa madaraka maana ni muongo na anatupotosha hivyo hataaminika?
Jee Mayanga ya kwake au sio yake? Ana uhusiano gani na hiyo kampuni?
 
unanilizq mimi nitqkusaidiaje? nenda BRELA kaombe search,siasa hizo za uzushi zilisumbua sana zama za Jakaya
 
Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake.

Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa na nyaraka zingine zote muhumu katika utangazaji na utoaji wa tender.

Nasikia hii kampuni ni ya wazawa(sijui ukweli wa hili jambo) ila kama ni kweli basi si vibaya tukawajua maana watakuwa wamesaidia fedha nyingi isiende nje ya nchi lakini ni lazima tujue kama sheria na taratibu zimezingatiwa katika kuwapatia tender hiyo.

Hata kama itakuwa ni kampuni ya kigeni nayo tungependa kujua namna ilivyopewa tender/kandarasi husika.

Ni hayo tu.

Update:
Kuna wachangiaji wametujulisha kuwa tender ilitangazwa na habari hiyo inapatikana katika huu uzi hapa chini:
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato: Serikali yatangaza tenda
@salary Slip nakuita mara 3
 
Bwashee wakati jamaa wanatangaza tenda ya ujenzi wa uwanja wa Chato wakaweka kigezo lazima kampuni iwe class 1 kutokea kanda ya ziwa! Na kampuni katika kanda hiyo ni hiyo MAYANGA pekee duh! Mkuu bado huamini kuwa Bwashee mkubwa siyo mpigaji?
View attachment 1575073
Aiseee!!!!ukabila mtupu *****
 
Back
Top Bottom