Wizi mtupu hapo wanabadili jina kukwepa kodiKampuni mpya ya Honora Tanzania imetoa taarifa kwa wadau wake katika biashara kubadili jina kutoka MIC Tanzania kwenda Honora Tanzania. Pamoja na kubadili jina la kampuni, Honora wataendelea kutumia 'Brand name' ya Tigo na huduma zote zitabaki kama zilivyo.
View attachment 2725843
Mkitaja majina ya kampuni mnawachanganya wasiojuwa lolote.MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!
Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji[emoji24]
Unakwepaje kodi? Hebu tupe elimu.wizi mtupu hapo wanabadili jina kukwepa kodi
HakunaWho cares
Phd yako umeipataje kama mimi form six tu nalijua hili?Unakwepaje kodi? Hebu tupe elimu.
Tupe elimu unakwepaje kodi kwa kubadilisha jina la biashara form two dropper nipo hapaPhd yako umeipataje kama mimi form six tu nalijua hili?
Akili za kitoto unazoWizi mtupu hapo wanabadili jina kukwepa kodi
Ndio ushangae..bunge badala ya kubadili hizi sheria wako busy kubadili sheria ili DP World achukue bandari milele...MIC TANZANIA imefanya kazi kwa hasara kwa miaka mitatu mfululizo hivyo imeamua kuuza shares zake zote kwa kampuni ya HONORA ili nayo ijaribu na kama nayo itapata hasara ndani ya miaka mitatu itauza shares zake!
Hivi ndivyo Tanganyika inavyoliwa na wajanja kupitia sheria zetu mbovu za uwekezaji[emoji24]
In a positive side of this ni kuwa Mauritius waliamua kupunguza viwango vya kodi ambapo makampuni makubwa yanakimbilia kuweka makao makuu ya biashara zao huko kwa security hii na kutozinguliwa na mauzauza kama ya TRA yetu.Kampuni mpya ya Honora Tanzania imetoa taarifa kwa wadau wake katika biashara kubadili jina kutoka MIC Tanzania kwenda Honora Tanzania. Pamoja na kubadili jina la kampuni, Honora wataendelea kutumia 'Brand name' ya Tigo na huduma zote zitabaki kama zilivyo.
Honora Holdings Limited imesajiliwa Mauritius.
View attachment 2725843