Kampuni ipi ina majiko imara ya umeme?

Kampuni ipi ina majiko imara ya umeme?

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Wakuu naomba kuuliza.

Ni kampuni ipi ina majiko imara ya umeme/gas?

Jiko linalohitajika la umeme, liwe na plate 2 za umeme na 2 za gas.

Natanguliza shukurani.
 
Tafuta kampuni ya BEKO wapo vizuri sana
 
Nakushauri, chukua westpoint, iwe ya gas 3 na umeme moja.. hapo automatic oven itakuwa umeme ndio vzr sabab oven ya umeme ndio nzuri kuoka nyama ila kuoka nyma na gas inakuwa na ki harufu flan
 
Nakushauri, chukua westpoint, iwe ya gas 3 na umeme moja.. hapo automatic oven itakuwa umeme ndio vzr sabab oven ya umeme ndio nzuri kuoka nyama ila kuoka nyma na gas inakuwa na ki harufu flan
bei zake kwa sasa ni sh ngapi
 
Back
Top Bottom