The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Blackstone Induction Cooker2 za umeme
Westpoint2 za gas
bei zake kwa sasa ni sh ngapiNakushauri, chukua westpoint, iwe ya gas 3 na umeme moja.. hapo automatic oven itakuwa umeme ndio vzr sabab oven ya umeme ndio nzuri kuoka nyama ila kuoka nyma na gas inakuwa na ki harufu flan
Kuanzia sh laki 6 na kuendeleabei zake kwa sasa ni sh ngapi