Kampuni ipi inakata makato madogo?

Kampuni ipi inakata makato madogo?

xavieen

Senior Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
140
Reaction score
559
Wazoefu naomba kuelekezwa ni kampuni ipi ambayo huwa inacharge makato madogo iwe 0.0% au 0.5% wakati wa kulipia bidhaa au kutumia kwenye ishu za kibiashara kutoka mitandao hii ya simu.

Baadhi nilizowahi kutumia
SELCOM wanakata 1%
MLIPA wanakata 3%
LIPA KWA MPESA 0.5% (hii nmeitumia zaman kidogo badae wakawa wanazngua)

Pia naomba kujuzwa zile kampuni zinazokuunganisha wew na mteja ili mteja anapokuja kwako kufanya mannunuzi wakati analipia bidhaa akatwe kiasi kidogo sana cha pesa iki nisiumie wala yy asiumie sana. Kwa mfano, mteja amekuja anataka kulipia bidhaa ya sh.50,000 wakat analipia akatwe chini ya asilimia 0.5 kushuka.

NMEFUNGUA MGAHAWA WATEJA WENGI WANAFANYA KAZ KAMBI ZA WAKIMBIZI WAKIJA WANATAKA WAWE WANALIPA KIELETRONIC.

NATANGULIZA SHURANI
 
Back
Top Bottom