Kampuni kama hii kamwe haiwezi kuacha Kubarikiwa na Mwenyezi Mungu kwa Matendo yake mema kabisa

Kampuni kama hii kamwe haiwezi kuacha Kubarikiwa na Mwenyezi Mungu kwa Matendo yake mema kabisa

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Mfanyakazi wa @Google akifariki, kampuni hiyo humlipa mwenza-wake 50% ya mshahara wake kwa miaka 10. Pia mtoto/watoto wako watapokea USD 1,000 (Tsh. Milioni 2.3) kila mwezi hadi watakapofikisha umri wa miaka 19 (au miaka 23 kama ni mwanafunzi).

Makampuni ya Kitanzania ( Kibongo ) nanyi pia wala hamjachelewa kabisa Kuiga mema ya hii Kampuni ya Google ili mbarikiwe.
 
Tanzania ni nchi masikini sana. Hayo makampuni unayoongelea yako mangapi? Na makubwa yote yako Dar tena ni machache na wafanyakazi wake wanalipwa vipato duni sana.

Samahani kama nimekosea.
 
Tanzania ni nchi masikini sana. Hayo makampuni unayoongelea yako mangapi? Na makubwa yote yako Dar tena ni machache na wafanyakazi wake wanalipwa vipato duni sana.

Samahani kama nimekosea.

Unaposema kuwa Nchi yako ya Tanzania ni Masikini sikuelewi Ndugu kwani Rais wako JPM keshasema Sisi ni Matajiri sana tu.
 
Google wana-hire top talents ambao wanagombaniwa na makampuni makubwa kama IBM, Apple, DELL etc.. ndo maana ili ku-win hao wafanyakazi hawana budi kutoa promises za kuvutia. Na sio kila mfanyakazi wa google ana hizo offer ni baadhi tu
 
Back
Top Bottom