Mfanyakazi wa @Google akifariki, kampuni hiyo humlipa mwenza-wake 50% ya mshahara wake kwa miaka 10. Pia mtoto/watoto wako watapokea USD 1,000 (Tsh. Milioni 2.3) kila mwezi hadi watakapofikisha umri wa miaka 19 (au miaka 23 kama ni mwanafunzi).
Makampuni ya Kitanzania ( Kibongo ) nanyi pia wala hamjachelewa kabisa Kuiga mema ya hii Kampuni ya Google ili mbarikiwe.
Tanzania ni nchi masikini sana. Hayo makampuni unayoongelea yako mangapi? Na makubwa yote yako Dar tena ni machache na wafanyakazi wake wanalipwa vipato duni sana.
Tanzania ni nchi masikini sana. Hayo makampuni unayoongelea yako mangapi? Na makubwa yote yako Dar tena ni machache na wafanyakazi wake wanalipwa vipato duni sana.
Google wana-hire top talents ambao wanagombaniwa na makampuni makubwa kama IBM, Apple, DELL etc.. ndo maana ili ku-win hao wafanyakazi hawana budi kutoa promises za kuvutia. Na sio kila mfanyakazi wa google ana hizo offer ni baadhi tu