Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
Jijende jikabhuje!! Aukana washilepela shanguHatari hiyooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jijende jikabhuje!! Aukana washilepela shanguHatari hiyooo
taarifa za uhakika zinasema kampuni la kuchimba madini Glencore linajipanga kuachana na biashara ya kupitisha mizigo yake Tanzania kutokana kile kinachosemwa kuwa ni figisu-figisu za kodi zisizoeleweka. mizigo yake sasa itapita Durban kwa Madiba. hii ina maana Tanzania itapoteza mapato iliyokuwa ikipata kutoka katika mzigo wa madini ya shaba ya tani 20,000 kila mwezi yaliyokuwa yakipita bandari ya salama kwenda ughaibuni. Tusisahau tena kuwa vijana wetu kwa mamia watapoteza ajira. pia vikampuni vidogodogo vitajiuliza 'ikiwa mwenye tani elf 20 kwa mwezi anasepa sisi wa tani 1000, 2000, 3000 tunabaki kufanya nini?'
hatari ni aje?
waendeee tu kwanza madini hayaozi walipe kodi muda huu nimemaliza kunywa soda nimepewa stakabadhi halali.......
Ukoo wa magu una asili ya kichaa
Kweli kabisaWaende zao hata walipokuwa wanapitisha bongo pesa iliingia mifuko ya mafisadi
Wabunge wa chadema wamechoka washabiki wamechoka. Huu mchango wako kama vile wewe naye ni mteja wa milembe vileNi kweli,tutaanza kutumia vyanzo vipya vilivyopendekezwa na wabunge "makini" wa ccm,sasa tutaanza kutoza kodi za kuku,mbuzi,bata,paka,panya,mbwa,kunguni,viroboto,chawa na kila mdudu atambaaye chini ya nchi,lengo likiwa ni kufikia kwa haraka Tanzania ya viwanda.
hapo ndo mwisho wa uelewa wangu usinilazimishe kuelewa nisichotakakwa Vyoivyote hata post hujaisoma wewe umekimbilia kupost madudu tu hapa, kasome tena hiyo post.