Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,161
Yaani mnahangaika kama yenu. Bha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Receivership tho!
Hata KQ na hyo loss yote haiwes enda receivership ikiamua ku operate kenya pekee .....
Receivership already????I thought they have not even been launched???Si Danganyikans did free rides all day long...Ushamba wanayo hawana???
Yaani wakenya wanapenda kunona tanzania inashuka. Na bado yaani mpaka watatamani kuhamia TANZANIASoma habari uelewe, hayo madeni ya hiyo kampuni ni ya muda mrefu na hayahusiani na mradi wa mabasi ya mwendokasi.
Kwenu yapo. Shame on youHawa ndio zao, ujamaa uliwaadhiri sana, hayo mabasi yapo tu kama msaada wa serikali kwa raia, nauli yenyewe walilia sana wailoptajiwa watalipa 1,000Tshs kama 50Kshs hivi halafu umbali wenyewe kwa nauli pesa ndogo hivyo.
Watanzania hamwezani na maisha ya ubepari wakati bado mnataka mubebwe kama mlivyozoea kipindi cha ujamaa. Mnataka kuiga Kenya lakini bado mnataka muishi kiujamaa. Sisi tunatumia hela ili kufanikisha mnayoyaona haya.
Ona sasa, serikali yenu imeingia gharama kubwa sana kufanikisha huo muundo mbinu, lakini nyie ni wale wale tu. Wengine hata mlikua mnakojoa kwenye hivyo vituo, ilhali wengine mnadunga dunga wanawake na kuwachafua. Mswahili aishi uswazi tu hamna namna, asije kwenye mataa ya mjini...hehehehe!!
Yaani hata hawajui uhusiano wa simon group na serikali umeanza lin. Wao wanajaaa upepo kama mali ya kwao.Nadhan hujaelewa kilichowekwa under receivership ni Mali zote za simon group kwa mkopo Wa kitambo na kinachochukuliwa n 51% ya hisa zake
Kwenu yapoImagine, jamaa wabahili, most of these Bongos can't survive in Nairobi aki. Washazoea daladala chafu ambazo wao hulipia nauli ya 300Tshs, ukiwaletea vyombo vya kisasa vyenye ustaarabu ambavyo unafaa ulipie wanalalamika hadi kuzimu. Halafu la kushangaza unakuta hata middle class wa Tanzania na wao wapo humo wanalalamika.
Hizi hapa ndio zao, hizo za 300Tsh about 15Ksh, unakuta hata wenye hela wabahili wanabanana humo...
Mungu ibariki TANZANIAUsafiri bora kuliko Kenya., nyie endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe.View attachment 421941
View attachment 421942
View attachment 421944
View attachment 421947
View attachment 421948
View attachment 421949
Hawa ndo waliomba magufuli akawe president kenya angalau kwa mwezi mmojaMungiki wenu anaendelea kuwapiga changa la macho tu.
Light train project to be launched in June, President Uhuru Kenyatta says
A project to construct a light commuter train network in Nairobi will be launched in June, President Uhuru Kenyatta announced Friday.
The project, co-financed by Kenya and Hungary, will ease traffic congestion in the city.
Hungary implemented a similar project in Addis Ababa, Ethiopia.
President Uhuru Kenyatta said no “development-conscious Kenyan” would oppose the Sh15 billion project.
The President made the announcement when he held talks with Hungary Ambassador to Kenya, Eduard Laszlo Mathe, who paid him a courtesy call at State House, Nairobi.
The President said the first phase one of the project will connect the Standard Gauge Railway end point in Syokiamu to the railway station in the city centre.
The project proposes to connect major roads in Nairobi to the tram network to transport passengers to the city centre.
The roads include Thika Superhighway, Ngong Road, Limuru Road and Ongata Rongai.
The President directed the Ministry of Transport and Infrastructure to ensure the project plan is on schedule.
The Hungarian ambassador said the proposed tram service will transform the way people in the capital city get to work.
“It is expected to transport about 300,000 passengers a day and even more when all the branches are fully operational,” he said.
“In line with Hungary’s new foreign policy for Africa to reinforce economic relations, we will train and equip Kenyans with skills to develop the project and own it,” he said.
Light train project to be launched in June
Tatizo lako hujui unasema nin.Hehehe noma
Simon group wanadaiwa madeni ya nyuma tofauti na mradi huu.Hata kama ni mia mbili how does a parastatal go into receivership less than A year since inception [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] peleka ujamaa mbali
Akili zao wanadhani simon group wanamiliki mradi mmojaParastatal (shirika la umma) ni nani hapo? Mradi wa mabasi ya mwendokasi unamilikiwa na serikali kwa 49% na UDART (kampuni binafsi inayomilikiwa na Simon group) kwa 51%. Hao Simon Group wanadaiwa na benki, TIB na mkopo huo hauhusiani kwa lolote na mradi wa mabasi ya mwendokasi.
Tunawaelewesha ila mnajifanya vichwa ngumu ili kujifurahisha, mtakufa na vijiba vyenu vya roho.
Simon Group walalamika ufilisi wa TIB
KAMPUNI ya Simon Group Ltd imesema imesikitishwa na hatua ya Benki ya Maendeleo (TIB) kutangazwa kuwekwa chini ya ufilisi kutokana na mkopo wa kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu za pamba cha New Era Cotton Oil Mill cha jijini Mwanza wakati kulikuwa na majadiliano ya kulipa mkopo wa Sh bilioni 2.8.
Aidha, imesema si sahihi kuihusisha hatua hiyo na biashara zake, ikiwamo Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (Uda) ambayo ina hisa nyingi katika mradi wa mabasi ya haraka katika Jiji la Dar es Salaam (Udart); ikisema kila kampuni inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na inapodaiwa, mali hukamatwa zile zinazohusiana na kampuni husika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Simon Group Limited, Robert Kisena alisema jana Dar es Salaam kuwa yalikuwapo majadiliano ya kulipa mkopo huo ambayo yalifikia mahali pazuri Mei mwaka huu na kwamba mara zote, kampuni hiyo imekuwa tayari kulipa mkopo huo na imeshangazwa na hatua ya TIB kuiweka chini ya uangalizi wa Kampuni ya Uwakili ya NexLaw kama njia ya kuelekea kuifilisi kampuni hiyo.
“Hatujawahi na wala hatuna mpango wa kukataa kulipa deni hili. Kampuni imekuwa katika mazungumzo na TIB ya kulipa deni hilo na yalifikia mahali pazuri, hivyo tumeshangazwa na hatua iliyochukuliwa ambayo inaweza kuonesha kuwa hatuna nia ya kulipa deni,” alisema Kisena na kuongeza: “Pia si vyema kuhusisha hatua hiyo na masuala ya Udart na BRT, haya ni mambo mawili yasiyohusiana. Kila moja liko katika uendeshaji wake na hata kisheria, kampuni inapokuwa na matatizo mali zinazoshikiliwa ni zile zinazohusiana na kampuni husika.
Akifafanua kuhusu deni hilo, Kisena alisema lilitokana na kampuni kukopa TIB mwaka 2008 kutokana na ununuzi wa kiwanda kilichokuwa mali ya Nyanza Cooperative Union (NCU) ambacho awali walikuwa wakikiendesha kwa kukikodisha.
Alisema katika mkopo huo walichangia Sh milioni 300 na TIB Sh bilioni 2.8. Alisema hata hivyo, mwaka huo 2008 kulitokea mdororo wa uchumi ambao ulisababisha kushuka kwa biashara kutokana na bei kuwa chini na pia kukosekana kwa malighafi kutokana na NCU na Chama cha Ushirika Mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) kusimamisha uzalishaji wake.
Juzi katika vyombo vya habari NexLaw ilisema kuanzia Oktoba 11, mwaka huu TIB imewateua wanasheria Ayoub Matafya na Nuhu Mkumbukwa kuwa wasimamizi wa Simon Group Ltd kutokana na mkopo huo wa mwaka 2008.
Simon Group walalamika ufilisi wa TIB
Soma hii comment utaelewaHata ukijitetea how does this go into a receivership its not even 7months since!!!
Hautaruka story!!
Parastatal (shirika la umma) ni nani hapo? Mradi wa mabasi ya mwendokasi unamilikiwa na serikali kwa 49% na UDART (kampuni binafsi inayomilikiwa na Simon group) kwa 51%. Hao Simon Group wanadaiwa na benki, TIB na mkopo huo hauhusiani kwa lolote na mradi wa mabasi ya mwendokasi.
Tunawaelewesha ila mnajifanya vichwa ngumu ili kujifurahisha, mtakufa na vijiba vyenu vya roho.
Simon Group walalamika ufilisi wa TIB
KAMPUNI ya Simon Group Ltd imesema imesikitishwa na hatua ya Benki ya Maendeleo (TIB) kutangazwa kuwekwa chini ya ufilisi kutokana na mkopo wa kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu za pamba cha New Era Cotton Oil Mill cha jijini Mwanza wakati kulikuwa na majadiliano ya kulipa mkopo wa Sh bilioni 2.8.
Aidha, imesema si sahihi kuihusisha hatua hiyo na biashara zake, ikiwamo Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (Uda) ambayo ina hisa nyingi katika mradi wa mabasi ya haraka katika Jiji la Dar es Salaam (Udart); ikisema kila kampuni inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na inapodaiwa, mali hukamatwa zile zinazohusiana na kampuni husika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Simon Group Limited, Robert Kisena alisema jana Dar es Salaam kuwa yalikuwapo majadiliano ya kulipa mkopo huo ambayo yalifikia mahali pazuri Mei mwaka huu na kwamba mara zote, kampuni hiyo imekuwa tayari kulipa mkopo huo na imeshangazwa na hatua ya TIB kuiweka chini ya uangalizi wa Kampuni ya Uwakili ya NexLaw kama njia ya kuelekea kuifilisi kampuni hiyo.
“Hatujawahi na wala hatuna mpango wa kukataa kulipa deni hili. Kampuni imekuwa katika mazungumzo na TIB ya kulipa deni hilo na yalifikia mahali pazuri, hivyo tumeshangazwa na hatua iliyochukuliwa ambayo inaweza kuonesha kuwa hatuna nia ya kulipa deni,” alisema Kisena na kuongeza: “Pia si vyema kuhusisha hatua hiyo na masuala ya Udart na BRT, haya ni mambo mawili yasiyohusiana. Kila moja liko katika uendeshaji wake na hata kisheria, kampuni inapokuwa na matatizo mali zinazoshikiliwa ni zile zinazohusiana na kampuni husika.
Akifafanua kuhusu deni hilo, Kisena alisema lilitokana na kampuni kukopa TIB mwaka 2008 kutokana na ununuzi wa kiwanda kilichokuwa mali ya Nyanza Cooperative Union (NCU) ambacho awali walikuwa wakikiendesha kwa kukikodisha.
Alisema katika mkopo huo walichangia Sh milioni 300 na TIB Sh bilioni 2.8. Alisema hata hivyo, mwaka huo 2008 kulitokea mdororo wa uchumi ambao ulisababisha kushuka kwa biashara kutokana na bei kuwa chini na pia kukosekana kwa malighafi kutokana na NCU na Chama cha Ushirika Mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) kusimamisha uzalishaji wake.
Juzi katika vyombo vya habari NexLaw ilisema kuanzia Oktoba 11, mwaka huu TIB imewateua wanasheria Ayoub Matafya na Nuhu Mkumbukwa kuwa wasimamizi wa Simon Group Ltd kutokana na mkopo huo wa mwaka 2008.
http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/16323-simon-group-walalamika-ufilisi-wa-tib
Che road ilivokuwa safi. Kenya hii ipo ????Kichwa chako ni kigumu kiasi hicho ama ndio umeamua kubisha tu? Simon Group ndio ipo under receivership kutokana na deni lao la mwaka 2008 na sio UDART. Mradi wa mabasi ya mwendokasi hautaathiriwa kwa vyovyote na hatua hiyo.
Nimeshafunga mjadala kuhusu hili suala, kama umeamua kubisha endelea tu ili ujifurahishe.
View attachment 421990
Na utatoka mapovu sana. Umeitaka mwenyewe. Sasa unaona ngumu kumeza eh!!!Kameze wembe We mla Albino.Kike ni wewe jambazi kabisa.Do you have to mention Kenya in your sour nasty flimsy and lazy arguments.Get a life.
Naona mapovu yanawatoka kutoa 15ksh. Ha ha jichunguzeni wapi mnakosea.15 ksh hata kijijini kwetu hutopata matatu.
Yaani saivi mtafyata mikia na [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] midomo yenuIf that makes you happy so be it....Good night
Asante kwa comment murua.A bank cant just decide to go for anything you own because you cant pay a loan, there must be something that you provided as security guarantee.. so if the bank is going for Dart to repay its loan then that Simon group must have made a very bad financial decision.... i mean the whole reason why ppl call there companies ( * group) is so that a company can haveany branches and subsidieries in which one branch cannot be held liable for the decision of another branch.... if one branch of the group takes a loan and cant pay back, then only that branch is liable, tge bank shouldnt be able to go for another branch unless that was what was agreed
Kunakitu inaitwa purchasing power uko hapo. Hiyo inflation inafanya maisha yanapanda beilazma uchumi ukue bana, mambo ya kuuziana vitu bure bure haileti maendeleo yoyote..
inflation ya kenya june 2016 ilikua 5.7% na ya Tanzania ilikua 5.2% , kwahivyo si kuhusu hali ya maisha kiuchumi.... lakini haifai kumaanisha kila kitu kiwe karibu bure... hakuna mtu atafaidika.... kama unalipa nauli ya chini, inamaanisha utalipwa mshahara wa chini.... yule atakae faidika kwa kweli ni kampuni inayokuajiri, mama mboga atakua anakula loss, mama ntilie naye pia, kampuni ya mabasi nayo pia inakula loss
Mkuu hii kitu acha kabisa. Njoo Dar es salaam sikumoja. I hope utaenda mshauri yule babuyenu kibaki nae afanye hivo kenya. Naona roho inakuuma. Omba urai wa Tanzania basiHayo ni maisha ya umaskini na kubebana na ndio athari za ujamaa, inalemaza hata uwezo wa kutumia akili. Haifai kila kitu utegemee kiwe cha bei ya chini halafu bado unataka huduma bora. Lazima umpe mwanabiashara uhuru wa kupiga mahesabu yake bila kukandamizwa, japo kwa kuhakikisha naye hatumii hiyo fursa kunyanyasa.
Unakuta mwenye daladala kaliachia hadi linakua chakavu maana faida anayopata ni kidogo sana, linakua chakavu na chafu na la kushangazaa Watanzania hadi hata wale wa kipato cha kati wote wanang'ang'ania na kubanana ndani ya hayo madaladala kisa alipe 300Tshs (15Kshs). Ukipenda kuishi maisha ya kimaskini/ujamaa na ubahili bila kupenda kutumia hela, ndivyo utakavyokua.
Jamaa kapiga suti ya bei, jinsi alivyovaa inadhihirisha ana kipato kizuri, lakini amebanana na wamama wauza samaki wa Kivukoni, humo ndani ya daladala chafu, linanuka halafu uongeze na joto ya Dar na foleni/jam ya kufa mtu. Eti anakwenda ofisini au kikao sehemu. Lakini hataki kulipa zaidi ya 300Tsh (15Ksh)
Kichwa chako ni kigumu kiasi hicho ama ndio umeamua kubisha tu? Simon Group ndio ipo under receivership kutokana na deni lao la mwaka 2008 na sio UDART. Mradi wa mabasi ya mwendokasi hautaathiriwa kwa vyovyote na hatua hiyo.
Nimeshafunga mjadala kuhusu hili suala, kama umeamua kubisha endelea tu ili ujifurahishe.
View attachment 421990
***** tena za kuchonga. Nyingi zilikuwa fuso. Sijui nchi inaanzaje kuziruhusu zingie barabaraniWalaa asikubabaishe mwambie alete risit ya zzile matatu zao za nairobi
Umeona eh cheers mkuuuBora nilipe kidogo ila nipate huduma za ukweli ndo maana tahmeed kwa kujua hatutaki panya kawachia hukohuko majeneza yenu huku full kipupwe