Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iyo deni ni ya UDA, parent company ya hii iliyochukua mwendo kasi. Alafu hata kama lolote litatokea, barabara na vituo zimeshajengwa. Nyie hamna hata barabara, hata space ya kuwekea hizo barabara hakuna tena. Na mshaingia top ten kwenye majiji yenye mafoleni. 2050 mtakuwa kwenye tatu bora.
Mbn mshamba ww?Hawa ndio zao, ujamaa uliwaadhiri sana, hayo mabasi yapo tu kama msaada wa serikali kwa raia, nauli yenyewe walilia sana wailoptajiwa watalipa 1,000Tshs kama 50Kshs hivi halafu umbali wenyewe kwa nauli pesa ndogo hivyo.
Watanzania hamwezani na maisha ya ubepari wakati bado mnataka mubebwe kama mlivyozoea kipindi cha ujamaa. Mnataka kuiga Kenya lakini bado mnataka muishi kiujamaa. Sisi tunatumia hela ili kufanikisha mnayoyaona haya.
Ona sasa, serikali yenu imeingia gharama kubwa sana kufanikisha huo muundo mbinu, lakini nyie ni wale wale tu. Wengine hata mlikua mnakojoa kwenye hivyo vituo, ilhali wengine mnadunga dunga wanawake na kuwachafua. Mswahili aishi uswazi tu hamna namna, asije kwenye mataa ya mjini...hehehehe!!
Hawa ndio zao, ujamaa uliwaadhiri sana, hayo mabasi yapo tu kama msaada wa serikali kwa raia, nauli yenyewe walilia sana wailoptajiwa watalipa 1,000Tshs kama 50Kshs hivi halafu umbali wenyewe kwa nauli pesa ndogo hivyo.
Watanzania hamwezani na maisha ya ubepari wakati bado mnataka mubebwe kama mlivyozoea kipindi cha ujamaa. Mnataka kuiga Kenya lakini bado mnataka muishi kiujamaa. Sisi tunatumia hela ili kufanikisha mnayoyaona haya.
Ona sasa, serikali yenu imeingia gharama kubwa sana kufanikisha huo muundo mbinu, lakini nyie ni wale wale tu. Wengine hata mlikua mnakojoa kwenye hivyo vituo, ilhali wengine mnadunga dunga wanawake na kuwachafua. Mswahili aishi uswazi tu hamna namna, asije kwenye mataa ya mjini...hehehehe!!
Huko kuna mabasi ama malori yenye body za busIla Kenya mabasi mabovu ni yale ya short distance pekee. Tz utapata basi la kuenda kilomita 1000 ni bovu.
Kwanza hiyo kampuni imeshafungiwa siku nyingi kwakutokidhi vigezo.Hapo ndio mjue tupo siriazhata kampuni za long distance za dar ziko na kunguni
Habari wadau,
Nipo njiani nasafiri kuelekea nyumbani kwenye msiba na nimepanda gari la Mohamed trans linalofanya safari za Bukoba-Dar.
Kwakweli huduma za magari haya yaliyowahi kupata sifa kedekede kwa huduma nzuri kipindi cha nyuma ni mbaya sana.
Kwanza gari ni chafu sana kwa ndani na inaonesha uchafu huu ni wa siku mbili zimepita. Mbaya zaidi gari lina kunguni hatari na kila abiria amelalamikia jambo hili ila wahudumu wa gari hili hawana maneno ya staha kwa abiria.
Binafsi nimekereka sana na suala hilI na nilipojaribu kumwambia muhudumu amejifanya kuwa mkali nami nikampandishia basi hapajatosha.
Imagine kunguni wanaonekana kwenye mwanga huu sasa sijui ikifika usiku itakuwaje maana magari ya Bukoba ni ya kulala Kahama na kumalizia safari kesho yake.
Nimekereka sana na sipendi mtu mwingine akereke kama.
Hii kampuni imebaki jina tu lakini huduma mbovu sana sijapata kuona.
Kilichonikera ni gari kuwa na kunguni,haiwezekani ulipe nauli 60,000/= alafu upewe huduma kama ng'ombe wanasafirishwa kwenda mnadani.
Asanteni na mniombee nifike salama
Attached Files:
Hatari: Abiria wa Bukoba msipande magari ya kampuni ya Mohamed Trans
Na route huko yenye bus kidogo za maana ni Nairobi Mombasa sehem nyingine zilizobaki hadi aibuIla Kenya mabasi mabovu ni yale ya short distance pekee. Tz utapata basi la kuenda kilomita 1000 ni bovu.
Huko kuna mabasi ama malori yenye body za bus
The difference between a bus and a Lorry is the body. Please read a book.Huko kuna mabasi ama malori yenye body za bus
Unajua route zingine gani Kenya?Na route huko yenye bus kidogo za maana ni Nairobi Mombasa sehem nyingine zilizobaki hadi aibu
The difference between a bus and a Lorry is the body. Please read a book.