Kampuni mbili mpya za simu za mkononi zaingia

Kampuni mbili mpya za simu za mkononi zaingia

Ile habari ya walipa kodi wakubwa Tanzania imeshaingia humu jamvini?
CRDB, NMB zinaongoza.

Makampuni ya simu sifahamu yameshika nafasi gani. Kampuni za madini?





.
 
8960.JPG

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Profesa John Nkoma (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni mpya ya simu ya Mycell, Bw. Yusuph Manji leseni ya biashara katika hafla iliyofanyika, Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia ni Ofisa Mawasiliano wa TCRA, Bw. Victor Nkya.

Je, ni huyu kijana mdogo ndiye anaitikisa serikali ya Tanzania ama mwingine ? Je, ni huyu ndiye mfadhili mkuu wa Yanga ? Je ni huyu kweli ? Kweli pesa kiboko.


Anayeshuhudia sio Victor Nkya.Huyo ni Dr. R. Mfungahema Director of consumer and industry affairs hapohapo TCRA.
 
Hizi hafla hafla hizi zimezidi. Kwani kuna ulazima gani wa kufanya hafla ili kukabidhiwa leseni?

Mama,
Wenzio wanataka waonekane! Ndo wanaamini njia ya kujisafisha,ndo pakuuzia sura hapo!
 
Manji ni mwizi tuu!! TCRA you are really letting us down now...Manji is no investor...Mycell this is a joke!! TCRA wanatoa leseni kama pipi .we are soo going to regret this in the future..nkoma be careful
 
Manji anatenda, Mengi anapenda PUBLIC SYMPATHY tuuu. kwani mengi inamzuia nini kuwekeza kwenye mawasiliano, utalii, madini, ujenzi, usafiri na kujiimarisha zaidi huko kwenye MEDIA. Nigeria akina DANGOTE wanasonga mbele, Uganda wavamano anasonga pia hakuna kulialia ovyoo eti naonewaaa. pambana ndo ushindani wa kibiashara na sio kupenda kupiga picha na mabalozi, raisi na press nyingi kwenye media zakooooo.....
 
manji anatenda, mengi anapenda public sympathy tuuu. Kwani mengi inamzuia nini kuwekeza kwenye mawasiliano, utalii, madini, ujenzi, usafiri na kujiimarisha zaidi huko kwenye media. Nigeria akina dangote wanasonga mbele, uganda wavamano anasonga pia hakuna kulialia ovyoo eti naonewaaa. Pambana ndo ushindani wa kibiashara na sio kupenda kupiga picha na mabalozi, raisi na press nyingi kwenye media zakooooo.....
it seems impossible unless it has been done -mandela
 
Manji again I have heard of the name somewhere is it connectec with the EPA episode please could someone help to wisen me up... I hope the financing did not come from funds of the people EPA
 
Ili mradi walipe kodi zote zinazotakiwa, mimi sina shida. Suala la wapi Manji kapata pesa si langu whether kutoka Epa au wapi, to hell. Ninachotaka kuhakikishiwa je atalipa kodi zetu kama inavyotakiwa au ataunga bogi kwa kutolipa kodi kama yale makampuni mengine?
BTW hii mycell haiwezi kuwa ni janja ya RA baada ya kuona faida nyingi katika VODA? Maana hii ni biashara kubwa pekee nchi hii isiyolipa kodi🙁
 
8960.JPG

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Profesa John Nkoma (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni mpya ya simu ya Mycell, Bw. Yusuph Manji leseni ya biashara katika hafla iliyofanyika, Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia ni Ofisa Mawasiliano wa TCRA, Bw. Victor Nkya.

Je, ni huyu kijana mdogo ndiye anaitikisa serikali ya Tanzania ama mwingine ? Je, ni huyu ndiye mfadhili mkuu wa Yanga ? Je ni huyu kweli ? Kweli pesa kiboko.
.......................Wizi Mtupu!!!!!!!!!!!!!!
 
Unajua wafanya biashara wajanja wamegundua kuwa TZ ni shamba la bibu. Ukitaka kupta ubilionea wa haraka uje TZ. Ukweli ni kuwa katika Afrika Mashariki Tanzania ndo inaongoza kwa kuwa na mitandao mingi ya simu za mkononi lakini pia inaongoza kwa gharama kubwa za upigaji simu za mkononi. Tujiulize, faida kwa mlaji kuwa na makampuni mengi? Jibu tarajiwa ni kuwa gharama za kupiga simu zitapungua kwa sababu ya ushindani lakini ni kinyume chake hapa kwetu, gharama bado ziko juu!

Kuongezeka kwa kampuni nyingine 2 kutafanya jumla tuwe na kampuni 6 za simu za mkononi ukiongeza TTCL zinakuwa 7 ambayo nadhani TZ twaweza kuongoza kwa kuwa na makampuni mengi. Tunataraji lau faida 2 zifuatazo:-


1. Gharama za upigaji simu za mkono kupungua
2. Kodi za Mapato kuongezeka.

Sasa tujiulize. Je, pamoja na kuwa na mitandao mingi gharama zimepungua? Hesha, Kenya na Uganda pamoja kuwa na Makampuni machache gharama za upigaji simu ni za chini zaidi kuliko sisi!

Kodi. Pamoja na kuwa na makapuni nyingi na watuamiaji kuongezeka kila siku bado makapuni ya simu za mkononi si kinara katika uchangiaji kodi za mapato.

Tatizo ni nini hasa?
 
Hizi hafla hafla hizi zimezidi. Kwani kuna ulazima gani wa kufanya hafla ili kukabidhiwa leseni?

This is a photo op for the new venture, nothing unuasual in that. What may be question is how extravagant they are and who foots the bill.But a simple ceremony is quite normal.

Unaweza kumuuliza mwanafunzi anayeenda katika graduation ceremony "kuna ulazima gani kuwa na hafla katika kukabidhiwa shahada?". Ingawa si lazima, ni utamaduni uliowekwa na unaonyesha uzito wa achievement.

Kampuni mpya ya simu inaanzishwa hapa, kibiashara ni muhimu waitangaze, wananchi pia ni muhimu kuijua na kufahamu kwamba imehalalishwa kwa leseni maalum, kesho keshokutwa kutakuja thread itakayouliza kama hii kampuni imesajiliwa watu wataleta picha kama ushahidi hapa.
 
bei hazipunguki operators wakizidi 4... There are limited frequencies available which the operators have to share... if you go beyond 4 operators the less they have among them and the closer they have to build their transcievers (towers/antennes etc).... this just makes the whole story more expensive.. it will not be the operators that will foot the final bill, it will be the end user! The governments in Europe know this and enforce a 4 operator policy for good reason!... Sisi wenzetu tunajua zaidi!..
 
umesema kampuni 2 1/mycell ya 2/ni ipi/pia kunatetesi ya kuwa zantel pia imeuzwa
 
Back
Top Bottom