Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Acha kudakia kitu usichokijua kimeanzia wapi. Jaribu wakati mwingine kuwa unashirikisha ubungo wako wa mbele kabla ya kujibu post. Nimejibu hii post hapa ya FF
Sijasema hatuendele kwasababu ya kiingereza, bali hatuendelei kutokana na kuwa wabunge vilaza kama huyu. Aibu tupu!! Eti mtu kama huyu ni mwakilishi!!
Tamka hilo neno kabla hujasema zaidi huwa una kuju a au kujuwa?
@FaizaFoxy:
Unajua unashangazaga sana, na anayekulipa kuandika haya unayoandika kweli hakupendi. Yaani sijui unaishi dunia gani, binadamu wa aina gani na ukilala unajifikiria vipi. nina uhakika nafsi yako inakusuta muda mwingine hasa ukilala. Laiti ungeligundua madhara ya vitu unavyoandika, sidhani ungetamani kuishi tena. Nakuombea ulaaniwe kwa jina la shetani.
sugu sasa akue aache kuhangaika kushare his strategies kwenye social media na afanye kwweli
atafute audience na dr salim kwa lessons learnt
I like it.Vuzuri = vizuri
Hilo ujuzi linajulikana wai kuwa ni typographical error na si kuto kujuwa, hayo mengine hebu yatamke kwa sauti halafu yaandike unavoyatamka, uone vipi ni sawa.
Sawa bibi, ila huwa napata shida kila ninapoitazama picha hiiKikwete anakijuwa Kiingereza huwezi kumkuta hata siku moja kaandika kama huyu mbunge wa magwanda. Au kamsome January, japo na yeye bado kwa kiasi fulani lakini ni bora kwa Kiingereza kuliko huyu kijana, halafu kuongea Kiingereza sio kuandika Kiingereza ni vitu viwili tofauti, kuna hata Waingereza chungu nzima ndio lugha yao mama lakini hawajui kukiandika. Fikiri.
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Sawa bibi, ila huwa napata shida kila ninapoitazama picha hii
View attachment 42146
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Mkubwa! Kufatilia minor spell error ni kupoteza wkt na ni extravagancy za kb's zako! hatupo hapa kw ku'discus spell error mbona threads zako nyingi naziperuzi zaonesha perfomance yako iko juu, hapa umekuaje?
kiswahili cha wapi hicho(kwenye nyekundu)? halafu lugha ya kigeni utawezaje!? halafu kumbe wewe jizi(kwenye bluu) kumbe allah anajalia watu kuwa majizi!?
Ndio maana hatuendelei
Daah halafu Kiingereza cha mbunge hicho? Si angeandika Kiswahili tu. Aibu tupu kuwa na wabunge sampuli hii.
Sasa kama hajui Kiingereza kwanini hapo alitumia Kiingereza, mimi naona si vyema kwa mheshimiwa kwenda katika majukwaa yanayosomwa dunia nzima kuandika lugha asyoijuwa vuzuri. Au na Kiswahili hakijui?
Wenzake huwa wanatafuta wakalimani.
Ingekuwa ni yeye mwenyewe ndiyo aliyoweka hayo maandishi humu wala usingeniuliza, mbona huwa natowa darsa humu kila siku.
Hata Zitto nimeshawahi kumsahihisha humu JF na barua yake yenye nembo ya bunge, nimeisahau tu ile nyuzi ningekuwekea hapa. Mbona mambo ya kawaida hayo. Tena nampa Mheshimiwa "offer" ya bure, kama Kiingereza kinamkwaza yeye ani pm tu, mimi ntamuandikia na yeye ndio atapata kujifunza kwani nna uhakika si mjinga, ni lugha tu inampiga chenga.
Tena kumbuka, napenda sana kutowa darsa, kwani huu ujizi alionijaalia Allah kama sikuutowa kwa wasiokuwa nao ntakwenda nao wapi?
Hilo ujuzi linajulikana wai kuwa ni typographical error na si kuto kujuwa, hayo mengine hebu yatamke kwa sauti halafu yaandike unavoyatamka, uone vipi ni sawa.