PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
Kuna kampuni mpya ya Ndege inaitwa Air Zara International!
Jumapili 17/1/2010 walizindua rasmi safari za Arusha, wakiwa wameandamana na waandishi wa habari kibao toka Dar.
Na watu kama mimi tukazipata habari hizo, tukaenda kufuatilia.
Katika Msafara huo wa Uzinduzi, Mkuu wa msafara wa Uzinduzi alikuwa Naibu Waziri wa Miundombinu, Maua Daftari.
Mama huyu Hakujivunga pale, akatuomba tuliokuwepo pale tusaidiane kutafuta wateja ili kuiungisha kampuni hiyo mpya.
Jumatatu, waziri huyo alikuja tena Arusha, akaongelea ndege hiyohiyo, kuwa itakuja tena Alhamisi na kumchukua yeye na abiria wengine.
Alhamisi, wanafamilia wa huyu mama walisafiri na ndege hii jioni.
Kuna tetesi kwamba mama huyu ana hisa katika kampuni hii kutokana na ukaribu wake na uongozi wa ndege hii, na kufikia hatua ya kuipigia debe bila woga!
Hongera mama kama ni kweli. KILIMO KWANZA bana, Kwani nini!