Kampuni mpya ya Ndege...Mama Maua Daftari Umo?

Kampuni mpya ya Ndege...Mama Maua Daftari Umo?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,199
Reaction score
8,761
Kuna kampuni mpya ya Ndege inaitwa Air Zara International!

Jumapili 17/1/2010 walizindua rasmi safari za Arusha, wakiwa wameandamana na waandishi wa habari kibao toka Dar.

Na watu kama mimi tukazipata habari hizo, tukaenda kufuatilia.

Katika Msafara huo wa Uzinduzi, Mkuu wa msafara wa Uzinduzi alikuwa Naibu Waziri wa Miundombinu, Maua Daftari.

Mama huyu Hakujivunga pale, akatuomba tuliokuwepo pale tusaidiane kutafuta wateja ili kuiungisha kampuni hiyo mpya.

Jumatatu, waziri huyo alikuja tena Arusha, akaongelea ndege hiyohiyo, kuwa itakuja tena Alhamisi na kumchukua yeye na abiria wengine.

Alhamisi, wanafamilia wa huyu mama walisafiri na ndege hii jioni.

Kuna tetesi kwamba mama huyu ana hisa katika kampuni hii kutokana na ukaribu wake na uongozi wa ndege hii, na kufikia hatua ya kuipigia debe bila woga!

Hongera mama kama ni kweli. KILIMO KWANZA bana, Kwani nini!
 
pk
ni kweli wala ajifungi mama ana hisa zake na si yeye wapo wah pale kwenye wizara ya fedha top ones,hawa jamaa si wapya walikuja hapo nyuma wakaja na ndege ya boeing wakanza kupeleka abiria mwana sasa wakashauriwa uikianza unaitaji saizi ya kazti na lingine h\ile ndege kubwa walikodisha kenya wakashindwa kulipia jamaa wakaja kuichukua nahisi bado deni alijamaliziwa,ni hatua moja kubwa,tanzania tunaitaji kampuni nyingi za ndege ku stabilise bei za ndege,bei za tanzania ni kubwa sana sana,,,
labda ushauri wangu kwa wana airzahra atakaetaka afwate
KAMPUNI YENU NI NZURI KAMA MTAKUWA NA
1)GOOD MENEJIMENT,WAPENI WATU KAZI KWA QUALIFICATION ZAO NA SI WATOTO WA SHANGAZI BILA KUANGALIA DINI UKABILA,
2)FANYENI MARKETING NZURI,NENDENI KWENYE EIRLINE NYINGINE ANALIEN WANACHOCHEMSHA NANYI MNAANZIA HAPO,MFANO TU

3)NDEGE NYINGI ZINAJAZWA NA TRAVELLING AGENT;HAWA MSIWADHARAU HATA KIDOGO,WAULIZENI ATCL KILICHOWAPATA,WAKAFANYA NINI,SASA CHA KUFANYA MFAN
MNATAKA KUJITANGAZA DAR MWA DAR=240,000
NENDENENI KWA TRAVELLINGAGENT WAAMBINE SIE TWAITAJI 240,000,WAUZE260,000 HAKIKAMTAPATA WATEJA NA KUSHINDWA KUJAZA NDEGE YENU ZILE NORM DIFFERENCE WAPENI AGENT MPATE PESA

4)WAAFANYAKAZI WA NDEGE WAWE WAZAWA;ACHANENI NA HII BIASHARA YAKUKODI WAZUNGU;WAKENYA WAKATI WAPO WATANZANIA WENYE PROFFESSIONAL ZAO WANAWEZA KUIPELEKA KAMPUNI PAZURI NA SMALL COST,

5)JARIBUNI KUFANYA COST CUTTING AS MUCH MNAVYOWEZA PASIPO KUWAADHIBU ABIRIA,YAPO MAMBO MENGI SANA YA KUPUNGUZA GARAMA

6)MUWE MAKINI NA TKT ZENU 'WAJANJA WAMEKUWA WENGI SANA NCHII HII PRECISSION WALILIA SANA KWA KUKUTA WATU WAKISAFIRIA NA TKT ZIMETOKEA WAPI WAWAJUI MPAKA LEO

7)EXCESS BAGGAGE
HII NI SEHEMU NYINGINE KAMPUNNI ZA NDEGE MNAPOTEZA HELA;PESA NYINGI ZINAINGI MIFUKONI MWA WASIMAMIZI NA SI KUCHANGIA KUBORESHA KAMPUNI;WATUWANAANGALIA MASLAHI YAO SANA ;HII ILIFANYWA AUDITTING MOJA YA KAMPOUNI MATOKEO YAKE WATU WALILIA NA KUSAGA MENO PESA ILIOKUWA U\IKIPATIKANA NI AIBU YA ILIYOPATIKANA,MUWE MAKINI KWENYE VYANZI\O VYENU VYA PESA
 
Mhhh, PJ...

Yetu macho, wapi tena akina Diallo???.
 
Inawezekana juhudi za JK za kupambana na wanasiasa-wafanyabiashara zisifanikiwe kamwe.
 
ndege sio daladala!wasije wakawa wanakodi ndege za zamani!
 
good work! mum, thus is what we need in Tz, hatuwezi kupata pesa kama watu hawawekezi katika nyanja mbalimbali, cha muhimu hapa ni fundisho kwetu sisi makabwela ya kwamba hatuwezi kuendelea kama tutauendeleza utamaduni wa kutaka kutoka mmoja mmoja, vivyo ni vyema kutajiunga katika makundi mbalimbali ya uzalishaji mali lasivyo tutaendela kufyata maktaimu, ni hayo tu wadugu!
 
Huyu mama Ngekewa yake kali. Tangia 1995 baada ya Mkapa kuchukua ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo hiyo. Miaka 15!!!Just imagine. SIjui kwa sababu ni Mzanzibari. Hana makeke ndiyo maana hafuatwi hafuatwi sana na media. Ukiacha ile kesi ya madai ya mikufu sijui.
 
kwani kuna ubaya gani kama mtu nafanya clean business,nafikiri hapa hata raisi anachemsha kuwazua viongozi kufanaya biashara, yeye aendelee kupambana na rushwa sio mtu kufanya biashara. Mbona bwana Bush ni mfanya biashara mzuri tu na bado ailendelea kuwa raisi wa Marekani? nafikiri hoja ya msingi ni je hii biashara ni safi, hakuna ufisadi ndani yake?, lakini if it is clean let them do business, tusiwe na fikra mgando kwa hili, kama Watanzania hatutafanya business nani atafanya sasa?
 
Back
Top Bottom