Captain 22175
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 304
- 494
Ndugu wananchi na wana dar es salaam kwa ujumla. Hii ni mpya kwenu na msije Sema sikuwaambia Premium security kampuni dada ya Bullet force security imeanza kazi rasmi nchini Tanzania kwa kasi na nguvu ya aina yake ikiwa ni mbadala wa vikampuni vingi vya kitanzania ambavyo vimekua vikiwasumbua na kuwatapeli wateja wao.
Ndgu wananchi , wafanyabiashara na maofisini, kwa mahitaji yako ya ulinzi murua wenye affordable prices basi msisite ku search jina premium security & bullet force security ili mpate huduma ya kiwango cha juu kabisa..
Haya nasubili maswali yenu hapa saizi.