Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,598 Aug 2, 2011 #1 Ndg, zangu naomba kuuliza? Ni mwanasheria yupi aliyemtetea Jacob Zuma kwenye kesi ya kubaka?
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,598 Aug 2, 2011 Thread starter #2 Waungwana naomba niulize hili kwa yeyote anayejua... Hivi ni Mwanasheria yupi / Kampuni ipi ya wanasheria walomtetea Jacob Zuma wakati wa Kesi yake ya Ubakaji.
Waungwana naomba niulize hili kwa yeyote anayejua... Hivi ni Mwanasheria yupi / Kampuni ipi ya wanasheria walomtetea Jacob Zuma wakati wa Kesi yake ya Ubakaji.
S Sir-mganah Member Joined Jul 17, 2011 Posts 58 Reaction score 11 Aug 2, 2011 #3 Na wewe unataka kubaka au?
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,374 Aug 2, 2011 #4 Mkuu kesi ya muda sana hii Imekuwaje leo ukaikumbuka au una kesi ya ubakaji unahitaji na wewe usaidiwe nini
Mkuu kesi ya muda sana hii Imekuwaje leo ukaikumbuka au una kesi ya ubakaji unahitaji na wewe usaidiwe nini
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,598 Aug 2, 2011 Thread starter #5 Mr.Rocky said: Mkuu kesi ya muda sana hii Imekuwaje leo ukaikumbuka au una kesi ya ubakaji unahitaji na wewe usaidiwe nini Click to expand... Nina sababu za kimsingi ila sio kwamba nina kesi ya ubakaji, kama unajua jibu naomba unijibu kiongozi.
Mr.Rocky said: Mkuu kesi ya muda sana hii Imekuwaje leo ukaikumbuka au una kesi ya ubakaji unahitaji na wewe usaidiwe nini Click to expand... Nina sababu za kimsingi ila sio kwamba nina kesi ya ubakaji, kama unajua jibu naomba unijibu kiongozi.
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,598 Aug 2, 2011 Thread starter #6 Sir-mganah said: Na wewe unataka kubaka au? Click to expand... Hilo sio jibu la swali uloulizwa! Jenga mazingira ya kuelewa unachotakiwa kujibu; kama hujui waruhusiwa kutochangia.
Sir-mganah said: Na wewe unataka kubaka au? Click to expand... Hilo sio jibu la swali uloulizwa! Jenga mazingira ya kuelewa unachotakiwa kujibu; kama hujui waruhusiwa kutochangia.
Aloysius Member Joined Mar 1, 2011 Posts 80 Reaction score 9 Aug 3, 2011 #7 Tundulisu. Bila ya malipo. Sema Aksante.