Kampuni / Mwanasheria alomtetea Jacob Zuma ...?

Kampuni / Mwanasheria alomtetea Jacob Zuma ...?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Ndg, zangu naomba kuuliza? Ni mwanasheria yupi aliyemtetea Jacob Zuma kwenye kesi ya kubaka?
 
Waungwana naomba niulize hili kwa yeyote anayejua... Hivi ni Mwanasheria yupi / Kampuni ipi ya wanasheria walomtetea Jacob Zuma wakati wa Kesi yake ya Ubakaji.
 
Mkuu kesi ya muda sana hii
Imekuwaje leo ukaikumbuka au una kesi ya ubakaji unahitaji na wewe usaidiwe nini
 
Mkuu kesi ya muda sana hii
Imekuwaje leo ukaikumbuka au una kesi ya ubakaji unahitaji na wewe usaidiwe nini
Nina sababu za kimsingi ila sio kwamba nina kesi ya ubakaji, kama unajua jibu naomba unijibu kiongozi.
 
Back
Top Bottom