Wazungu hawapendi wavivu, wezi, na wazembe.....Kwanini Hawa jamaa wanapenda sana kuwekeza kwetu, vipi wajerumani,wakorea, n.k
Uvivu ni hoja isiyo na mashiko, huko kwa wengine watu wanapiga kazi licha ya njaa kali watashindwaje kwa wazungu ?Wazungu hawapendi wavivu, wezi, na wazembe.....
Mwarabu na Mhindi wanajua jinsi ya kuwanyoosha wabongo....
Wazungu hawana huo muda wa kukumbizana, kama wakikuona hufai, huwa hawana muda na wewe....
Hao unaowasema huwa wanataka transparency, hawatoi rushwa na hutaka kuhakikishiwa mikataba isiyo na loopholes vitu ambavyo watawala hawavikubali. Viongozi wanaangalia maslahi yao binafsi kwanza na mengineyo kwao hayana umuhimu.Kwanini Hawa jamaa wanapenda sana kuwekeza kwetu, vipi wajerumani,wakorea, n.k
Nina ushahidi wa makampuni ya wazungu kufunga virago kutokana na wizi uliokithiri kwenye shughuli zao…Uvivu ni hoja isiyo na mashiko, huko kwa wengine watu wanapiga kazi licha ya njaa kali watashindwaje kwa wazungu ?
Mzize alisalimishwaMuarabu, muhindi na mubongo hizi ndoo takataka za mwsho znauliza had DINI, NDOA,KABILA, na kuaza kulazimisha watu wafuate milengo yao ...reference..MZIZE kuslimu