Kampuni nyingi za 1. Mwarabu 2. Mhindi 3.Mbongo 4.Mchina kuna "NJAA KALI"

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Mishahara midogo kazi kubwa
kucheleweshwa mishahara
watu huachia ndala njiani

1. Mwarabu
2. Mhindi
3. Mbongo
4. Mchina
 
Kwanini Hawa jamaa wanapenda sana kuwekeza kwetu, vipi wajerumani,wakorea, n.k
 
Kwanini Hawa jamaa wanapenda sana kuwekeza kwetu, vipi wajerumani,wakorea, n.k
Wazungu hawapendi wavivu, wezi, na wazembe.....
Mwarabu na Mhindi wanajua jinsi ya kuwanyoosha wabongo....
Wazungu hawana huo muda wa kukumbizana, kama wakikuona hufai, huwa hawana muda na wewe....
 
Muarabu, muhindi na mubongo hizi ndoo takataka za mwsho znauliza had DINI, NDOA,KABILA, na kuaza kulazimisha watu wafuate milengo yao ...reference..MZIZE kuslimu
 
Wazungu hawapendi wavivu, wezi, na wazembe.....
Mwarabu na Mhindi wanajua jinsi ya kuwanyoosha wabongo....
Wazungu hawana huo muda wa kukumbizana, kama wakikuona hufai, huwa hawana muda na wewe....
Uvivu ni hoja isiyo na mashiko, huko kwa wengine watu wanapiga kazi licha ya njaa kali watashindwaje kwa wazungu ?

wazungu hawapendi sehemu zenye urasimu na kusiko na uhuru wa kuikosoa serikali hasa kwenye policy za uwekezaji
 
Kwanini Hawa jamaa wanapenda sana kuwekeza kwetu, vipi wajerumani,wakorea, n.k
Hao unaowasema huwa wanataka transparency, hawatoi rushwa na hutaka kuhakikishiwa mikataba isiyo na loopholes vitu ambavyo watawala hawavikubali. Viongozi wanaangalia maslahi yao binafsi kwanza na mengineyo kwao hayana umuhimu.
 
Uvivu ni hoja isiyo na mashiko, huko kwa wengine watu wanapiga kazi licha ya njaa kali watashindwaje kwa wazungu ?
Nina ushahidi wa makampuni ya wazungu kufunga virago kutokana na wizi uliokithiri kwenye shughuli zao…
Sasa wewe leta ushahidi wa kampuni za wazungu kutowekeza au kuondoka kutokana na transparency au kukosoa serikali
 
Mchina ana ahueni kwa mbali..ila hizo takataka nyingine tupa kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…