ngarawatch
Member
- Jun 26, 2024
- 24
- 14
Ni Jumanne saa 4 asubuhi unahitaji kusafiri siku inayofuata ya Jumatano August 14,2024, ķutoka Mwanza kwenda Kigoma! Unaingia katika mtandao kutafuta usafiri.
Jina la kampuni maarufu inayofanya safari zake njia hiyo, linakuja Adventure. Unaamua kufanya Adventure kwa kutumia mabasi yao.
Unainggia latika Portal yao na unachagua seat kisha unalipia na kupewa risiti ya mtandao yenye namba 9201399383. Reporting time 5:00 Am. Departure 6:00 Am 14.8.2024.
Unadamka Stand ya Nyegezi, saa 5:10 AM. Kufika, lahaula, hakuna gari, hakuna agent, hakuna mhusika yoyote.
Agent wa badi la kampuni ya takbir anasema hawajafika hivyo nisubiri! Saa 5:30, gari haijafika? Hakuna wa kumuuliza. Unamfuata askari ambaye baada yavkukaguua ticket tunaambatana hadi eneo walikozoea kuegesha. Mpiga debe mmoja anasema, afande bora umekuja, hawa wanataka basibla adventure, nawaambia hakuna la alfajiri lilo la jioni, hawaelewi! Kuonyeshwa ticket, akapotea.
Mara, anajitokeza agent, anapewa jukumu la kumaliza issue hii! Kumuuliza anasema yeye hana taarifa hivyo, afanye mawasiliano na kuagizwa atafute usafiri mwingine kwa abiria huyo!
Unatafutwa usafiri wa basi jingine la takbir. Seat tofauti abiria wamejaa hadi kina askari wamesimama na jamaa mmoja anasafiti na vifaranga ndani ya basi, burdani?
Sasa, nyie kampuni ya Adventure, kama kuna changamoro zimetokea, namba za simu mnazoomba wakati wa kukata ticket omline ni za nini? Pia ticket zenu za online ziwe na namva ya simu ili abiria apate maelekezo.