ujanjaujanja katika biashara haufai hasahasa biashara ya nyumba
kaka kama wewe umetumia neno ajabu kwa makusudi ili watu waingie wasome je mimi nitakuaminije kukupa kazi ya ujenzi.
watu wa JF wanakushambulia kwa ajili umeweka neno ajabu
ushauri
1. tumia lugha nzuri na siyo ya ujanja kutangaza biashara yako na watu watakuelewa
2. omba ushauri katika kutangaza biashara yako na sio kutumia ujanjaunja ie "kampuni ya ajabu". maneno kama haya yanaondoa credibility
Tunashukuru kwa wazalendo kuonyesha mwitikio wenu katika kujenga na MCHUBANGA najivunia kuwa katika taifa lenye umoja na lenye kuelewa vyema ubora wa wazalendo. daima tutaendelea kutoa huduma ya ujenzi wa kiwango cha juu. shukrani kwa watanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.