ujanjaujanja katika biashara haufai hasahasa biashara ya nyumba
kaka kama wewe umetumia neno ajabu kwa makusudi ili watu waingie wasome je mimi nitakuaminije kukupa kazi ya ujenzi.
watu wa JF wanakushambulia kwa ajili umeweka neno ajabu
ushauri
1. tumia lugha nzuri na siyo ya ujanja kutangaza biashara yako na watu watakuelewa
2. omba ushauri katika kutangaza biashara yako na sio kutumia ujanjaunja ie "kampuni ya ajabu". maneno kama haya yanaondoa credibility