mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,192
- 5,743
Unataka kusema juice ya maembe imejaa yale madudu wanakamulia humu humu mbona mtu unaweza tapika kabisa kwa huu uchafu😔😔Tena maembe mengine huozea kwenye magari nje, na minyoo juu halafu watu wanakanyaga juice ya embe yaani balaa tupu