Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

Hawa wanawake wakichaga hawana huruma yaani anakuangalia unakunjwa ametulia tu kichwani anawaza hiyo pesa yako uliyoishikilia
 
[emoji3]

Aisee
 
Madereva wengi wa mabasi na makondakta wao asilimia kubwa ni wavuta bangi na wengi wao ni wale waliofeli kimasomo,hata wamiliki wengi wa mabasi ni wahuni wahuni hivi, kikubwa cha kumshukuru Mungu kama ndugu yako/ mkeo amesafiri na kufika salama ndio muhimu.

huwezi kusikilizwa malalamiko yako zaidi watakuona mjinga, suala la customer care kwenye usafili hapa nchini ni kwenye ndege tu, uko kwingine ni vurugu, wanafanya kazi kama wamelazimishwa ndio maana ajali nyingi nchi hii ni za uzembe tu, aidha wa dereva au mmiliki wa gari kutofanya matengenezo ya mara kwa mara.

Basi nilizowahi kusafiri nazo nikaona mmiliki na wafanyakazi wako serious na wateja na customer care nzuri ni ABC tu,wengine wanafikili customer care ni kugawa soda na maji na kuweka wasichana warembo ambao ni used wasio na kauli nzuri kwa wateja, mabasi mengi ya waarabu na wachaga kuanzia mmiliki mpaka wahudumu asilimia kubwa ni washenzi tu.
 
Usiwe na zereu mkuu.
Hakuna vipesa koko duniani.
Vipesa kwako kidogo kwa wengine ni mali.
Ganda la muwa la jana, chungu anaona kipato,
 
Jamaa wamekudunda halafu mbeleni wanachukua namba ya mkeo. Na vile Hana hela wanamnunulia misosi na bia na nyama choma utafurahi.
 
Yaani kwenye basi waruhusiwe kuingia sio wasafiri si itakuwa vurugu, kwanza ulitakiwa kuishia getini labda tu sababu stand zingine hazina uzio na mageti.

Ina maana ingkuwa anakwenda kwa ndege ungemfuata ndani ya ndege umpe pesa!
mleta mada hajielewi anadhani basi ni kama gulio unajiingilia tu na kutoka ukitaka wakati sio abiria

mabasi yanayojari abiria hayaruhusu hata siku moja mtu asiye abiria au mfanyakazi wa basi kuingia ndani ya basi
 
Mkuu kwa hiyo ulishindwa hata kumwambia konda niitie huyo Dada aliyekaa kwenye siti namba NNE , ni mke wangu wambie aje nimuage
 
Customer care huijui wewe unashughulika na Customer sio mtu asiye customer

Mleta mada hakuwa customer hakuwa na tiketi hakuwa na mandate wala any legal right ya kuingia ndani ya basi

Kwenye ndege asiye abiria huwa haingii lakini wewe unataka kwenye basi mtu asiye abiria awe anaingia eti ohhh ndio customer care!!!

Kama mtu asitye abiria aruhusiwe kuingia ndani ya basi halafu kwenye ndege asiruhusiwe huoni unajichanganya?

Go revise your customer care notes
 
Mwana kulitafuta sijui nini huko mbele utamaliziaga mwenyewe mtafutaji[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani hapa kila mtu akivaa viatu vya hakimu basi mleta mada anaonekana kuwa na makosa hata kabla hatujasikia upande wa Shabiby, ki ufupi uenda wahudumu wa kwenye basi walikosa busara,lakini huyu mleta mada atakuwa amekosa busara zaidi. Kwa uzoefu wangu kama we si msafiri naamini si lazima uingie kwenye gari kuhudumiwa, hata ukisimama nje ukamwita dereva au kondakta ukamuelza shida yako ni rahisi kusikilizwa. Pia nahisi mleta mada kuna jambo anaficha
 
Mke wa dereva punguza povu.
 
Jamaa wamekudunda halafu mbeleni wanachukua namba ya mkeo. Na vile Hana hela wanamnunulia misosi na bia na nyama choma utafurahi.
Ndio maana mama alitulia tuli wakati mumewe anadundwa yawezekana alishapata wa kumtuliza siti ya karibu akamwambia utakula utakunywa usiwe na hofu

Safari sio kitu cha ghafla inakuwaje aanze kutaka kumpa pesa last minute

mwanamke atakuwa alizira akaona ujinga kwa nini hukunipa mapema kwa hiyo hata wakati anadundwa mwanamke aweza kuwa alikuwa akiwapongeza kimoyo moyo wadundaji kuwa loo kidume gani huyu hadi mtu unaondoka hajakupa hela njiani anasubiri unaingia hadi kwwenye BASI ndio anaanza kujifanya anaenda kuzitafuta wacha adundwe
 
Hawa wanawake wakichaga hawana huruma yaani anakuangalia unakunjwa ametulia tu kichwani anawaza hiyo pesa yako uliyoishikilia
Usisingizie huyo mwanamke jamaa hajielewi na yeye ndo mkorofi Hadi akavutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…