Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

Aaaah wap..apa tatizo ni kamke kako kazur...wala hakuna kingine brother...seat yenyewe ni namba 4 anaonekana njema kabisa na driver....
 
Details zipo sanjari kabisa kasoro ni moja tu....namba ya kamke...
 
Tunaomba utume picha ya hiyo spika tuione. Isije uwa ulitaka kupanda na zile spika kubwa kama wachungaji huru wanaotoa neno barabarani[emoji23][emoji23]
 
Dereva na Konda wake wamekosea hata kama iweje... maana hata tukiwatetea bado kuna watu wasiokua na tiketi wataendelea kupanda na hawatawafanya kitu... mleta uzi leo umemkuta dere kaamshwa hakuamka mwenyewe...pole!!
 
Ulichotakiwa kufanya,ungemwambia mkeo aangalie tiketi yake akutumie namba ya simu ya makao makuu imeansikwa humo pamoja na namba ya Basi,pia ilitakiwa uipige picha hiyo Basi kwa nyuma ilivyo shushwa.
 

Unatembeaje na speaker!?
 

Sioni mantiki ya kuleta hii hoja hapa! Unatuletea ili tufanye nini? Pili wewe ni mtumwa wa hiyo kampuni maana mabadi yapo kibao na mazuri kabisa! Labda huwa unapunguziwa nauli ukiwa unasafiri na hayo mabasi! Hapa hakuna hoja hadi unataja jina la mkeo ili iweje? Hamia mabasi mengine kama umedhalilishwa!
 
Yaani wewe mleta mada ulijua mkeo anasafiri kwa nini haukumpa pesa ya matumizi nyumbani hadi uende ukampe kwenye bus,lengo lako lilikuwa nini watu wakuone nawe una pesa za kumpa mkeo au ulitaka mkeo akabwe/aibiwe akiwa njiani?
Ilikuwaje usiku kucha umle bila kukumbuka kumpa pesa ya matumizi.
Rudia tena next time,utavunjwa taya!!
 
Mkuuu umeandika kwa kukeraaaa
 
kwenye tiketi kuna namba zao za simu
pia ungempea kwa dirishani
au mkeo angekuja kuwaelewesha kuwa umemletea pesa
 
mkeo alikuwa wapi akashindwa kusema mpo wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…