Kampuni ya betika ni halali kweli au matapeli?

kula MTU ana ujinga wake. Nikiita kazi huwezi kunikataza na wewe ukiita ni uraibu/ addict siwezi kukataa .
 
kwa nini hamjawaanzishia mashambulizi kule twitter kama walivyofanya kwa sirjeff Ontario
 
Huna jipya mkuu,nimejenga na kupiga lipu nyumba yangu kwa kubeti,nilimstiri mzee wangu kwa heshima kupitia beti,wewe wa wapi?,bet si kwa kila mtu,huu Ni mchezo wa kubahatisha,maana yake bahati ,so Kama huna bahati utaishia kumtajirisha mhindi.

So sikubaliano na wewe ,watu wametajilika kupitia michezo ya kubahatisha,Ila tambua si kila mtu ana bahati kupitia beti
 
Mkuu beti si kwa kila mtu
 
So sikubaliano na wewe ,watu wametajilika kupitia michezo ya kubahatisha,Ila tambua si kila mtu ana bahati kupitia beti

Unategemea kuwa watu watatoka kwa kubahatisha?? Nyie ndio wale mnategemea njia za mkato kufanikiwa badala ya kufanya kazi!! Matokeo yake mnaishia pabaya.
 
Hizi ni story zenu za kwenye kahawa za kujipa moyo
 
Betting ni worldwide sio bongo tu Kama unavyofikiri.watu wanaweka stake *4 ya mshaara wako
 
Betting ni worldwide sio bongo tu Kama unavyofikiri.watu wanaweka stake *4 ya mshaara wako

Msiige mambo ili mradi watu wengine wanafanya , ndio maana mnaiga mambo ya kishenzi mkijidai mbona wengine wanafanya!!! Fanya mambo yanayoendana na hali halisi ya nchi na utamaduni wenu.
 
Msiige mambo ili mradi watu wengine wanafanya , ndio maana mnaiga mambo ya kishenzi mkijidai mbona wengine wanafanya!!! Fanya mambo yanayoendana na hali halisi ya nchi na utamaduni wenu.
Naweka stake *4 ya mshaara wako,usidhani tunaobet hatuna kazi za kufanya ninaweza kuwa na kazi nzuri zaidi yako wewe.tulia hivyo hivyo na mishaara yenu ya mawazo
 
maoni ya kijinga kama haya uwe unampa mke wako
 
Hivi mpaka unakuwa Platinum member, vigezo gani vinatumika? Mkuu hufai kuwa hata new member Kuwa wewView attachment 2030885
Wewe hufai hata kuwa kwenye jukwaa hili kwa jinsi ulivyokuwa mtupu!! Hutambui hata Kuwa hiyo michezo ya kamali inakufanya uwe lofa zaidi.
Kuwadhalilisha waanzilishi wa platform hii kwa kuhoji utendaji kazi wao kunaweza kupelekea wewe kufungiwa na usionekane tena humu wewe kiniero!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…