Masikini mjanja
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 232
- 379
Nimesoma mahali kwenye mtandao mmoja nchini Kenya wakidai Airtel Tanzania, Airtel Rwanda na Airtell Kenya zitauzwa na sababu kubwa ni hasara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayebadilika ni mmiliki wafanyakazi na mitambo ni ile ileHii kampuni ndiyo kawaida yake, ilianza operations ikiitwa Celtel, ikabadilika ikaitwa Zain, Kisha ikaitwa Airtel....sijui itaitwaje baada ya hapo!
naskia Sasa hivi itaitwa RUZILANKONKOCOMHii kampuni ndiyo kawaida yake, ilianza operations ikiitwa Celtel, ikabadilika ikaitwa Zain, Kisha ikaitwa Airtel....sijui itaitwaje baada ya hapo!
unaambiwa ni kenya , uganda na tanzania....vyuma Vimekaza huko kote?Metals have tightened!
Hata mmiliki ni yule yule, jina tu ndio wanabadilisha ili kukwepa kodiNayebadilika ni mmiliki wafanyakazi na mitambo ni ile ile