Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Sheria za kodi TZ, KE na Rwanda zinafanana maana kampuni inauzwa kote huko?Walipe kodi wanazodaiwa ndio wauze, maana huu ni ujanja wa kukwepa kodi kwa kubadilisha jina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria za kodi TZ, KE na Rwanda zinafanana maana kampuni inauzwa kote huko?Walipe kodi wanazodaiwa ndio wauze, maana huu ni ujanja wa kukwepa kodi kwa kubadilisha jina.
Sheria za kodi TZ, KE na Rwanda zinafanana maana kampuni inauzwa kote hukoWanakwepa kodi ...nazani sheria ya kutoa msamaha wa kodi kwa mwekezaji mpya kwa miaka flani iondolewe cz hawa hua wanasubiri mda ukiisha wanabadili jina so wanaishi kwa kukwepa kodi
NdioSheria za kodi TZ, KE na Rwanda zinafanana maana kampuni inauzwa kote huko?
Kama ni kweli.
Serikali nunua hisa zote za Airtel Tanzania, ukitumia watendaji wake haohao iongezewe nguvu na coverage..
Kutumia umafia wa kibiashara Serikali inunue hisa nyingi Vodacom na Tigo na mwisho kuzimiliki kabisa halafu unaziunganisha na Airtel na nchi inapata kampuni moja kubwa la Simu litaloendeshwa na watendaji hao hao waliopo na management hiyohiyo na iendeshwe kiufanisi zaidi kwa kuleta MACEO kutoka ulaya na watendaji woote muhimu watoke huko na serikali ikae pembeni kuchukua faida.. na baada ya hapo Serikali iweke mazingira magumu kwa uanzishwaji wa kampuni nyingine za simu..
airtel ubunifu hakuna..wametoa macho kwenye kulipanà vizuri,promotion mbovu sana,internet ndiyo biashara kubwa..wao hawaiboreshi
More tight mkuuMetals have tightened!
Aisee hizi ni pumba, biashara bila ushindani ndo mwanzo wa kulemaa mfano mzuri ni TTCL walivyoanguka maana zamani hawakuwa na washindani wala ubunifuKama ni kweli.
Serikali nunua hisa zote za Airtel Tanzania, ukitumia watendaji wake haohao iongezewe nguvu na coverage..
Kutumia umafia wa kibiashara Serikali inunue hisa nyingi Vodacom na Tigo na mwisho kuzimiliki kabisa halafu unaziunganisha na Airtel na nchi inapata kampuni moja kubwa la Simu litaloendeshwa na watendaji hao hao waliopo na management hiyohiyo na iendeshwe kiufanisi zaidi kwa kuleta MACEO kutoka ulaya na watendaji woote muhimu watoke huko na serikali ikae pembeni kuchukua faida.. na baada ya hapo Serikali iweke mazingira magumu kwa uanzishwaji wa kampuni nyingine za simu..
Umejifunza kidogo kwa safaricom Kenya mkuu?Kama ni kweli.

Sheria za kodi TZ, KE na Rwanda zinafanana maana kampuni inauzwa kote huko
Umejifunza kidogo kwa safaricom Kenya mkuu?
Aisee hizi ni pumba, biashara bila ushindani ndo mwanzo wa kulemaa mfano mzuri ni TTCL walivyoanguka maana zamani hawakuwa na washindani wala ubunifu
Anataka iwe kampuni moja kama Tanesco na RailwayHii akili au matope! Biashara inahitaji competition na competition ndo huzaa inovation na unafuu kwa wateja. Unataka kampuni moja la simu lenye nguvu na kuamua kile watakacho, wapandishee bei wawezavyo bila kupingwa na mtu na innovation ife kabisa? USA walivunja at&t miaka ya zamani wakati ndo huo ilikua kampuni moja tu ya simu na kuzalisha makampuni mengine ili kuongeza ushindani na ufanisi. Competition ni driving force ya biashara yeyote ile