Kampuni ya Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatangaza ajira kwa wanawake

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Kampuni yenye ofisi zake jijini Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatafuta wanawake 10 wa kushusha lori 4 za saruji. Yaani kwa siku ni kushusha saruji kwenye malori manne. Hii ajira ni ya kudumu. Changamkieni fursa kina dada.
 
Sio wakae watusubirie huku nilipo sijavuna
bado na mvua muda huu inachapa mbaya
nimejificha kibandani ingawa ni sawa tu kama nimesimama chini ya mti waje tulime.
 
Ukiwapata uje jiwalipe mara nne ya ujira wao wa kutwa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kampuni yenye ofisi zake jijini Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatafuta wanawake 10 wa kushusha lori 4 za saruji. Yaani kwa siku ni kushusha saruji kwenye malori manne. Hii ajira ni ya kudumu. Changamkieni fursa kina dada.
Mkuu, huu ni ukatili.....🤔
N Mungu anakuona alloooo.....☹️
 
Back
Top Bottom