Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Hali itakua mbaya sana, ila mbona kama walisema tunajenga kwa pesa yetu wenyewe.
Awamu hii ni wasanii na waongo sana mkuu, alafu wanaona wanachi wote ni maboya. Kuna wakati nafikiri wana shida fulani upstair.
 
Kumekucha kumekucha
majogoo vijijini yanawika hata na jua mbinguni linawaka! waanze zao bana wazungu ni shiiiida! hawa hawa walitumia thiodan kuteketeza mbu kwao ila kwetu haifai kwa mazingira wacha tuchanganye na zetu bana tumechoka kununua mishumaaa na vibatari.
 
Endelea kusifu na kuabudu
Baadhi ya Watanzania kama wewe, mungelikuwa nyie ndio Beberu, mungelikuwa mmetufungia sijui sayari gani tu,

Bahati mbaya na wewe ni mbongo mwenzetu😂 utaishia kukasirika tu huku Miradi ikizidi kusogea
 
Kumbe na ww ni takataka tu kama bia yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe usikubali propaganda



Waafrica siku zote tunajizika wenyewe zito na wenzake wapo Kama wale watu ambao wanamtaka dereva wa gari Aliebeba abiria ndani ya gari ambalo liko speed so wamemsimamisha dereva hajasimama so wanaona ili wampate Basi itabidi wajitaid gar ipate ajali bila kujal abilia waliomo ndan wao wanacho jali ni dereva atoke hayo mengine Sio inshu kwao Sasa leo sukari hamna sidhan Kama magufuli anakosa sukari yeye Ila wananch wa kawaida ndio wanao angaika OGOPA PROPAGANDA ACHA UPOTOSHAJI TETEA TANZANIA NYAMAZISHA MAADUI WETu
 
Mabeberu watakoma kipindi hichi
 
Hii project naamini ingepewa kampuni ya nchi za kimagharibi isingefikia ilipofikia leo, na uenda wangekuwa wameshaondoka wako kwao kwa kisingizio cha Covid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yaani baadhi ya sisi Watanzania watu wa ajabu sana, mtu utashindwaje kutambuwa kwamba kinacho endelea hapa ni kampein za chini chini zenye lengo la kuhumjumu maendeleo ya Tanzania specifically mradi wa umeme unao jengwa kwenye mto wa Rufiji - wanajuwa kwamba ukujikomboa kwenye nishati ya umeme basi Taifa linapiga hatuwa kubwa ya maendeleo - hawa wanao jitia ni wana harakati wanao jali mazingira ni wasanii tu wanao jaribu kufanya lobying ili Tanzania ikwame kimaendeleo wengi wa genge hili ni raia wa Kenya wakishirikiana na Watanzania wachache wenye akili fyatu kama wao.

Binafsi naona kusudio la genge hili ovu aliwezi kufanikiwa, Waswede na Serijali yao hawawezi kuchukulia mawazo ya wendawazimu wachache Seriously, kitu kingine nani kawambieni Kampuni ya Egypt inakuwa funded na taasisi za fedha za huko Sweden - nani? Hata hamjiulizi bwawa kubwa la umeme la huko Ethiopia nani alili-fund mwanzo mwisho, je, bwawa ka umeme huko Uganda nani katoa funds mpaka limekamilika - sasa hawa wanao jitia wanaharakati wanafikiri wanaweza kweli kukwamisha ujenzi wa bwawa la Nyerere kweli? Hata hamjui kwamba subcontractor wa bwawa hili ni kampuni ya Uchina!!

Mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kushabikia hujuma zenye kengo la kukwamisha mradi mkubwa wa kuzalisha umeme kwenye mto wa Rufiji?

Mapema mwaka huu niliona kukundi hili ovu linataka kuanzisha dirty campaign nyingine ya kipuuzi wanadai kwamba bimba la mafuta kutoka Uganda kuja Tanga Tanzania litaharibu mazingira vile vile raia hawatalipwa fidia stahiki popote bomba litakapo tandazwa - hivyo ni bora mradi huo ukisitishwa!! Wahusika wakuu katika kamoeini hii chafu na raia wa Kenya wakishirikiana na Watanzania wachache wa vyama vya upinzani - Watanzania hao hata hawajiukizi hivi bomba hilo lingepitishwa Kenya kwenda Mombasa hawa watu waleta ujinga wao huu, jibu ni hapana. Watanzania tuwe makini sana, maadui wetu wana hila na mbinu nyingi zenye lengo la kutukwamisha kimaendeleo - Wakenya hawatutakii mema hata kidogo.
 
Colonial mentality at its zenith!! Kwa taarifa yako kampuni hiyo ya Misri iliwahi kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme mto Nile maradi hui ni mara tatu wa huu wa hapa kwetu, wamejenga barabara kubwa na ya kisasa chini ya Suez Canal kwenda SINAI, kampuni hii vile vile ilihusika na upanuzi wa Suez Canal kwa kuongeza kina cha maji na upana - bottom line is: mnapo jaribu kuponda miradi ya kitaifa au makampuni husika jaribuni kubakiza hajiba ya maneno au fanyeni kautafiti kidogo.
 
Umechambua vizuri.
 
Sijui kwa nini miradi ya awamu ya mwendakuzimu ilikuwa inakumbana sana na vikwazo,mbona miradi ya JK ilikuwa inakwenda bila pingapinga za wazungu
 
Sijui kwa nini miradi ya awamu ya mwendakuzimu ilikuwa inakumbana sana na vikwazo,mbona miradi ya JK ilikuwa inakwenda bila pingapinga za wazungu

Huu mradi ni wa aina yake kama inafanikiwa. Suala la nishati litakuwa limepata uhakika kwa miongo kadhaa mbele.
Wazungu hawataki niendelee. Mkiendelea wao watakuwa maskini. Hawana kitu kule kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…