Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Huu mradi ni wa aina yake kama inafanikiwa. Suala la nishati litakuwa limepata uhakika kwa miongo kadhaa mbele.
Wazungu hawataki niendelee. Mkiendelea wao watakuwa maskini. Hawana kitu kule kwao

Bwawa hili wazungu wanatamani walilipue kwa bomu. Ila wanaona aibu
 
Sijui kwa nini miradi ya awamu ya mwendakuzimu ilikuwa inakumbana sana na vikwazo,mbona miradi ya JK ilikuwa inakwenda bila pingapinga za wazungu

Mwendawazimu ameleta umeme wa kumwaga
 
Baadhi ya Watanzania kama wewe, mungelikuwa nyie ndio Beberu, mungelikuwa mmetufungia sijui sayari gani tu,

Bahati mbaya na wewe ni mbongo mwenzetu😂 utaishia kukasirika tu huku Miradi ikizidi kusogea

Wamenuna wanaona aibu. Bwawa limeshaanza kuzalisha umeme
 
Hii nchi kivyovyote vile tunahitaji Umeme wa uhakika hilo Bwawa tayari lilikuwa hope sana kwetu mana peke yake tu lingekamilika lingefua umeme Zaidi ya tulio nao kwenye Grid sasa kwahiyo kufurahia mkwamo wa hio project ni zaidi ya Ujinga mana viwanda haviwezi kujengwa bila uhakika wa nishati lakini lazima tupambane kuondoa huu mkwamo hakuna mzungu atafurahi kuona unajenga dam ya kufua MW 2100 kwa sasa totol Power tuliyonayo ni 1400MW nationwide

kuna Wa Tanzania mmaku sana.. walishangilia bwawa kukwama ila hao hao leo wanatumia umeme wa bwawa hilo
 
Back
Top Bottom