Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Huu mradi ni wa aina yake kama inafanikiwa. Suala la nishati litakuwa limepata uhakika kwa miongo kadhaa mbele.
Wazungu hawataki niendelee. Mkiendelea wao watakuwa maskini. Hawana kitu kule kwao

Bwawa hili wazungu wanatamani walilipue kwa bomu. Ila wanaona aibu
 
Sijui kwa nini miradi ya awamu ya mwendakuzimu ilikuwa inakumbana sana na vikwazo,mbona miradi ya JK ilikuwa inakwenda bila pingapinga za wazungu

Mwendawazimu ameleta umeme wa kumwaga
 
Baadhi ya Watanzania kama wewe, mungelikuwa nyie ndio Beberu, mungelikuwa mmetufungia sijui sayari gani tu,

Bahati mbaya na wewe ni mbongo mwenzetu😂 utaishia kukasirika tu huku Miradi ikizidi kusogea

Wamenuna wanaona aibu. Bwawa limeshaanza kuzalisha umeme
 

kuna Wa Tanzania mmaku sana.. walishangilia bwawa kukwama ila hao hao leo wanatumia umeme wa bwawa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…