Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Suala ni sie kuweka mkataba mzuri tu unaozingatia maslahi mapana ya nchi!..wakijenga kwa fedha zao upo uwezekano wakadai msamaha mkubwa na wa muda mrefu wa kodi.
Suala ni sie kuweka mkataba mzuri tu unaozingatia maslahi mapana ya nchi!
Siku zote private sector zinaendesha vitu kwa ufanisi sana. Kwa taarifa yako hata uwanja wa ndege mkubwa wa Uingereza wa Heathrow unaendeshwa na private sector
Ndo mana nikasema suala ni kuweka mifumo mizuri ya usimamiaji na mkataba mzuri unaozingatia maslahi ya Taifa...jambo la msingi ni kuchambua faida vs hasara za mpango utakaowekwa mezani.
..Nadhani uwanja wa ndege wa KIA ulikuwa unaendeshwa na private sector lakini yalikuwepo malalamiko mengi kwamba tunaibiwa.
Kwa nini inajengwa reli ya sgr ni sio hizi za kawaida?..Na reli ya sgr kwa mikoa ya kusini.
..reli hiyo itafika mpaka ulipo mradi wa chuma na makaa.
..Elsewedy ndio watakaojenga na kuendesha reli hiyo, kama nimemuelewa vizuri waziri wa uwekezaji.
..kiwanda cha mbolea kitakuwa ni sehemu ya mradi wa gesi asilia.
Chadema wanataka katiba mpya, vyama vingine vingi vya upinzani hawataki katiba mpya au katiba mpya sio agenda yao, watakaaje meza moja ya upinzani?Kwenye mahojiano na Kikeke alisema alikuwa anasubiri vyama vya siasa vijipange, na sasa kataarifiwa vimejipanga hivyo atakutana nao soon! Nafikiri kikao hicho ndicho kinapaswa kutumiwa na wapinzani kutoa nyongo zao. CDM nao waache arrogance, waende wakaudhurie kikao na wenzao, hii mambo ya kusema hawawezi kukaa na TLP meza moja inabomoa na si kujenga
Mimi kwenye hili na sympathise na CDM. Ni tofauti kukutana na vyama zaidi ya kumi vya upinzani ambapo vinne ( CDM, ACT, CUF, NCCR,) ndio vina agenda ya wazi ya upinzani chini ya uenyekiti wa Chibuda. Hapo CDM atapewa dakika mbili kuongea na lolote watakaloongea litapingwa na wakina TLP, TADEA n.k. Kikao kitageuka forum ya kujipendekeza kwa Chama Tawala kwa kushambulia CDM. Hapo hujamweka Msajili wa Chama. Hamna kitu cha maana kitakachopatikana...vipo vyama vya siasa ambavyo vimekuwa vikitumika KUHUJUMU ajenda ya mabadilliko nchini.
..sasa serikali izingatie ukweli huo itakapoamua kukutana na vyama vya siasa.
..lakini nakubaliana na wewe kwamba CDM wakubali kukutana na Rais ktk mazingira yoyote yale. Nashauri wasiweke masharti.
..jambo la msingi madukuduku ya vyama genuine vya upinzani yafanyiwe kazi, na HAKI SAWA itamalaki kwa vyama vyote vya siasa.
Kwa nini inajengwa reli ya sgr ni sio hizi za kawaida?
Watu hawaaminiki wasiwasi ni lazima.ingekuwa bwana yule saa hizi mnasifia tu, lakini kwakuwa ni huyu mama hamuishi kutoa maneno yenye kulenga kuwatia watu wasiwasi
Mkuu, hatuwezi kuwa na 'dismissive attitude' ya namna hii. Haya ni mapambano ya nchi yetu, kamwe hatuwezi kuacha kuipambania Tanzania kwa sababu zozote zile.Wawape tu bongo longo longo nyingi wanataka performance kwa maslai kiduchu
Wewe huelewi chochote, unajiropokea tu!kwa sababu Rais ni muislamu? Mbona wakati MAgufuli alipo wapa contract ya Bwawa hamkusema kitu?
Ni watu wenye akili mfu kama wewe ndio mnaoipa shida sana nchi hii, kwa sababu huna unachojuwa, kutokana na haya uliyoandika hapa!Mwananchi unataka upate nini wewe kama wewe?Acha watu wawekeze wewe kama umeshindwa kujitafutia ugali,serikali kamwe haiwezi kukupa.
Ni wapi/line walisema hawataki katiba mpya? Kama mpo tayari kuonana na Rais kweli kama upinzani, why msikutane kabla na wenzenu and kila chama kiweke ajenda zake mezani, mzijadili, mfikie muafaka muende mkiwa mmejipanga kama kitu kimoja? Maana kwa style hii ya kwenda kila mtu kivyake vyake sidhani kama kuna muafaka utafikiwaChadema wanataka katiba mpya, vyama vingine vingi vya upinzani hawataki katiba mpya au katiba mpya sio agenda yao, watakaaje meza moja ya upinzani?
Bibi ushungi ndiyo amewaunganishaWaarabu ndo shanogewa hivyo.
Inawezekana wamekwishapata kiunganishio mahususi.
Kwenye maslahi ya nchi, nina wasiwasi mkubwa sana na huyu 'Maza Mizinguo'.Bibi ushungi ndiyo amewaunganisha
Tatizo mama ni ngurumbembeingekuwa bwana yule saa hizi mnasifia tu, lakini kwakuwa ni huyu mama hamuishi kutoa maneno yenye kulenga kuwatia watu wasiwasi
..Na reli ya sgr kwa mikoa ya kusini.
..reli hiyo itafika mpaka ulipo mradi wa chuma na makaa.
..Elsewedy ndio watakaojenga na kuendesha reli hiyo, kama nimemuelewa vizuri waziri wa uwekezaji.
..kiwanda cha mbolea kitakuwa ni sehemu ya mradi wa gesi asilia.